Nahitaji msada wenu kwenye hili wakuu

Nahitaji msada wenu kwenye hili wakuu

alex001

Member
Joined
Nov 23, 2022
Posts
20
Reaction score
10
Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nlichaguliwa chuo kikuu cha St. Francis morogoro course ya MD Lakin sijabahatika kupata mkopo wa Ada maana nilipewa boom peke yake Sasa kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu sana hadi Sasa hivi bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa.

Je, nifanye nini ili kufuta admission ili niwe mwanfunzi huru na niweze kuapply chuo kingine tena tofauti na hiki mwakani na Je vipi kuhusu mkopo nitapata kwa mara nyingne tena mwakani?

Naombeni msaada wa maelezo
 
Nitafute PM
 
Kuhusu mkopo hutasitishwa (suspending)

So I guess ukiomba next year
Ni vizuri ungekwenda chuo then uka-postpond then ukamuona loan officer akausimamisha mkopo wako ili next year ujaribu kuhamia chuo Cha serikali chenye Ada Nafuu
 
Vipi kuhusu nkisema niombe vyote next year yaani mkopo pamoja na chuo.??
 
Back
Top Bottom