Nahitaji msaada wenu wa haraka

Umeandika
ki huruma kwa kweli, namim naachaga ivo ivo kwa kweli ila kuanzia leo nitabadilika kumbe inawaumizaga
Ni heri ukamwambia mtu nakuacha kwa sababu hii na hii atakuwa na amani kuliko hii hali.
 
Nashukuru
 
1. Umri late 20's
2. Sio mchumba
3. Hapana, simsupport wala hanisupport
4 & 5. Wote tuna kazi

Nashukuru nitazingatia.

Pole sana, kwa umri wa late 20’s means from 27, huo ni mda wa kuwa serious na wanaume; kwa hiyo kama mwanaume Sio mchumba; achana naye na usipoteze mda wako!
 
Namtafuta ila hajibu kwa wakati au hajibu kabisa.
Duuuh si ukaze moyo ndugu upite kushoto maana kiasi mpaka unakuja kuuliza huku tayari unayo majibu ya nini cha kufanya ila unatafuta justification tu. Wako akitokea utajua tu vitu vinaenda bila kutumia nguvu. Ukiona unatumia nguvu sana kwenye mahusiano utauniza moyo vibaya mno.

Muhimu zaidi kumbuka usipate pressure za ndoa itakuja tu yenyewe wakati wako ukifika acha kukimbiza wanaume. Kadri unavyokimbizana naye ndio anazidi kuchanja mbuga huko. Muache aende na kama huna baya atakuja kukumbuka wakati ukiwa umeshapita halafu zitakua sio shida zako.
 
Uko sahihi,usiforce mapenzi relax utampata anayekupenda
 
Pole sana, kwa umri wa late 20’s means from 27, huo ni mda wa kuwa serious na wanaume; kwa hiyo kama mwanaume Sio mchumba; achana naye na usipoteze mda wako!
Asante mkuu
 
Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…