MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 704
- 1,390
Asante kwa ushauriKigezo Cha kwanza kwenye mapenzi ni mawasiliano. Ukishagundua kuwa mwenza wako hatilii maanani suala la kuwasiliana na wewe ,hiyo ni taa nyekundu (ishara mbaya) katika mapenzi yenu.
Kama hauna namna nyingine yeyote ya kufanya komaa naye.
Nilijitahidi kufanya kwa upande wangu, kumpigia, kumtext, kumtembelea kwake na vizawadi.Binafsi naona umejipendelea wewe umeeleza udhaifu na mapungufu ya mwenza wako afu unataka sisi tu conclude
Sasa ni hivi mahusiano ni hiyari na pia mahusiano hujengwa na watu wawili ambapo kila mmoja hubeba 50% sasa je wewe umetimiza wajibu wako kwa nafasi yako?
Au unataka yeye tu akupigie, kila wakati akupe zawadi ?
Je maisha maisha ya mwenza wako unayajua vizuri?
Inawezekana alitumia nguvu nyingi kukupata lkn je ndio maisha yake?
Na mengine mengi
Ushauri wangu; kama unampenda mshape awe kama utakavyo sio kila siku aanze yeye kukupa zawadi hata wewe muoneshe umuhima wa zawadi mjali tambua mapungufu yake mwandae kuwa mume and so on nimechoka kuandika
Kwahiyo wenye vyura hawaachwi???Chura ipo? Usijekuwa unalalamika unaachwa bure tu
That's good ..usifanye maamuzi haraka kiivo mwaya subiri akili itulieHili liishe kwanza
Mara chache sana ..mara nyingi wanatuachaKwahiyo wenye vyura hawaachwi???
Kwa iyo akiwa na shida ya kunyandua tu ndio anakutafuta aisee pole sanaa cha muhimu kaa nae ongea nae kwa undani akueleze tatizo nini na kama ana mtu mwingine akueleze ukweli tu hata kama itakuuma ila ukweli utakuwa ushaujuaNilijitahidi kufanya kwa upande wangu, kumpigia, kumtext, kumtembelea kwake na vizawadi.
Hiyo nguvu nyingi kunipata sijaelewa.. lakini imefikia hatua akinipigia ana shida na hapo atanichatisha na kunipigaia lakini ikiisha tu shida yake basi anarudi tena mbali.
Najitahidi kumpigia na kumtext lakini ndio inakuwa ya upande mmoja zaidi.
Nashukuru kwa ushauri wako