Nahitaji msaada wenu hali yangu ni mbaya

Nahitaji msaada wenu hali yangu ni mbaya

Kupitia comments zenu na baadhi ya PM naona mwanga na pia mnanipa moyo, naahidi kuleta mrejesho kwa chochote nitakachopata kupitia jukwaa hili. Maisha yana changamoto nyingi, kuna kupata leo na kukosa kesho.
Asanteni pia kwa maombi yenu
 
kaka si wewe tu, baadhi ya makampuni ya Madini na NGO's zimenyimwa leseni za kuoperate hapa nchini zimefunga, watu wanahaha kutafuta kazi nyingine, tatizo sasa ukiwa abave 40 ni sheshe mno kupata kazi - Umri.
Pia mishahara ya Makampuni ya Madini na NGO's huwa ni mikubwa, sasa interviewer unamwambia nilikuwa nakula 4.2m kwa mwezi; Jamaa wanabakia mdomo wazi - kuna kazi hapo.

ni hali tete sana, ila komaa mwanangu.. ila kama una familia na watoto wanasoma hizi shule zetu za acaemia na bado umepanga hapo ndipo huwa patamu kidogo...pole mkuu.
upate mshahara 4m...watoto wapo st nini sjui...na bado umepanga[emoji848][emoji848][emoji848]....hivi watu wa hivi wapo eeh?
 
Mama yako ni mzee lakini wewe ni mtoto wake nenda kwenu ukapambane huko. Usilazimishe kukaa kwa ndugu kwa kigezo cha maisha magumi kwenu maana naye ana magumu yake pengine kuliko yenu.

Hujasema kazi unayotaka minimum salary iwe ngapi?
kweli bora akakae na mamake
 
Mkuu mm sio mtoa mada ila sijapendezwa na comment yako, unamshauri arudi kwao at the same time unamuulizia kiwango cha salary, mbona unajichanganya!? akikutajia utamuajiri?
lakini bora akakae na mama yake....mana anasema kwa ndugu ananyanyasika sjui...bora kwa mama...mama mtamu jamani na baraka zake...bora ukazisake upo kwa mama ako na amani tele
 
Hii haihitaji huruma mkuu alipo mama yake aende akibangaiza akipata wale wote akikosa alale kwa amani akiwaza kesho nakutafuta kazi. Manyanyaso mengine kujitakia tu. Kuna watu wana wazazi wawili, sio wazee ila wana hali ngumu na shule hawajaenda.
madam umesema kweli...bora kwa mama kuna amani...sasa huyo nduguye anavomnyanyasa na hali yake ni stress juu ya stress mwisho kujiua bure
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua sana ndo maana nilikuchokoza tu,vipi kwa sasa unapanga foleni atm au bado upo na bahasha ya kaki
Nimeamua nijiajiri tu mkuu!
Nilivyo na roho nyepesi niliona kuzunguka na bahasha nisije nikamtia Kofi secretary wa ofisi ya mtu bure!
Wale Watu huwa wanaudhi sana majibu yao
 
Habarini ndugu zanguni. Kuna jamaa yangu kanambia kuna chuo Chake kinahitaji haraka sana Watu wanaoweza fundisha masomo ya ICT. kama unamfaham au unafaham please hakikisha sifa ziwe hizi.

1. Degree toka chuo kinachotambulika TZ.

2. Akiwa amesoma ICDL/Tally anakuwa na added advantage

3. Fluent in English

4. Tayari kuanza kazi haraka. Ofisi ni hapa Dar es salaam.



Wanawake wanahimizwa sana pia ili kubalance nafasi yao kazini hapo. Lakini hizuii kuajiri wanaume wenye sifa.

Tuma CV na application letter to

hashus31@yahoo.com



ANGALIZO.

HUTAKIWI KULIPIA HATA SENT TANO KWA AJILI YA KUPATA KAZI.

nimecopy kutoka kwa member wa jf anaitwa Sodoku
 
Kupitia comments zenu na baadhi ya PM naona mwanga na pia mnanipa moyo, naahidi kuleta mrejesho kwa chochote nitakachopata kupitia jukwaa hili. Maisha yana changamoto nyingi, kuna kupata leo na kukosa kesho.
Asanteni pia kwa maombi yenu
ukipata zaidi ya moja unishtue
 
Back
Top Bottom