Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,064
- 18,367
Ni kweli mkuuVijana wengi wanapoajiriwa hawajiongezi kufungua vitegauchumi vya kuongeza kipato, hawaweki akiba ya kuwakomboa kujiajiri siku kibarua kikiota nyasi.
Wengine wakipata ajira ni bata batani mpaka manyoya wanakula....
Sasa huyu ili apate msaada wa ushauri ni vyema atuambie ana nini ili tumpe mwangaza. Achilia mbali vitu vilivyoibiwa.....