Nahitaji msaada wenu hali yangu ni mbaya

Nahitaji msaada wenu hali yangu ni mbaya

Asanteni kwa kunishauri, bado natafuta hata kibarua tu nipate hata hela ya sabuni
 
mkuu mpaka leo hajafanikiwa hao wadau waliotangulia walikuambia uwacheki, uliwacheki vp? au unachagua kazi?
 
Bro kukusaidia njoo na despot mtwara uuze nyimbo , burning cd na video clip hii biashara huku mwez wa 9 na-10 had February huwa ina lipa so hutojuta
Maelezo zaid nfate DM
 
mkuu mpaka leo hajafanikiwa hao wadau waliotangulia walikuambia uwacheki, uliwacheki vp? au unachagua kazi?
Nimewacheck mkuu, kuna ambao wamenipa ushauri wengine nimetumia CV naskilizia. Bado sijapata issue
 
naendelea kumuomba Mungu naamini yeye ni mwema sana
 
Binafsi naona unachangamoto ndogo sana na sio matatizo.
Unaweza kukutana na mtu hana hata cha kuanzia na ukisema umsaidie unashindwa uanzie wapi? ila wewe una Skills na angalau Degree ya kuweza kujipigania.

Hauko peke yako mkuu usife moyo , kikubwa Pambana unavyoweza (hata vibarua vya kujenga)

Mwenye nia njema hakati tamaa.
VP apambane ebu fafanua maana ikusma tu pambana ni neno la jumla tukuombe utoe mfano we VP atakavyopambana?
 
Back
Top Bottom