Kwa bahati mbaya na wewe ni mwanaume wa 51 kwake...
Hili ni la muhimu zaidi.......
Hii inaweza pia kuchangiwa na mshahara unaopokea kwa mwezi ambao ni Tshs 51,000/- . Na pia ulipofanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne matokeo ya darasani ukawa mtu wa 51 kati ya idadi ya wanafunzi 52 darasa zima.Habari waungwana kwanza naanza kwa kuwataka radhi kwani sina uhakika kama post hii hapa ni mahali pake au lah,nilipata mchumba miezi miwili iliyopita namba yake inaishia 51 basi kuanzia hapo naiona namba hii kila mahali tena bila kujijua mfano mimi si muangalia saa ila huwa nikiiangalia bila kujijua muda naouona ni 07:51 ,09:51,10:51 e.t.c mwanzo nilijua labda attension tu ya mapenzi kuanza sasa naona imezidi yaani naweza stuka usiku wa manane nikiangalia saa si maksudi bila kujijua nakuta ni 02:51 ,nime-google inaonesha ni common problem ila wote hawana majibu sahihi .Naomba ushauri hii ni nini !
Hili ni la muhimu zaidi.......
ha ha ha ha ha haha ha ha ha ha ha
Dr P, hebu check namba ya kilongalonga cha daktari mwendhio...utaikuta hii nambari pia
c.c MzizimkavuHabari waungwana kwanza naanza kwa kuwataka radhi kwani sina uhakika kama post hii hapa ni mahali pake au lah,nilipata mchumba miezi miwili iliyopita namba yake inaishia 51 basi kuanzia hapo naiona namba hii kila mahali tena bila kujijua mfano mimi si muangalia saa ila huwa nikiiangalia bila kujijua muda naouona ni 07:51 ,09:51,10:51 e.t.c mwanzo nilijua labda attension tu ya mapenzi kuanza sasa naona imezidi yaani naweza stuka usiku wa manane nikiangalia saa si maksudi bila kujijua nakuta ni 02:51 ,nime-google inaonesha ni common problem ila wote hawana majibu sahihi .Naomba ushauri hii ni nini !
Habari waungwana kwanza naanza kwa kuwataka radhi kwani sina uhakika kama post hii hapa ni mahali pake au lah,nilipata mchumba miezi miwili iliyopita namba yake inaishia 51 basi kuanzia hapo naiona namba hii kila mahali tena bila kujijua mfano mimi si muangalia saa ila huwa nikiiangalia bila kujijua muda naouona ni 07:51 ,09:51,10:51 e.t.c mwanzo nilijua labda attension tu ya mapenzi kuanza sasa naona imezidi yaani naweza stuka usiku wa manane nikiangalia saa si maksudi bila kujijua nakuta ni 02:51 ,nime-google inaonesha ni common problem ila wote hawana majibu sahihi .Naomba ushauri hii ni nini !