Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu


THANK YOU! Nitafanya ivyo[emoji120]
 
Kuita wanaume Mbwa umekosea Sana hapo.

At your age 25 years ur oldest enough to be humble and to ignore the harsh words.

Mimi ushauri wangu ukitaka strong and matured relationship hakikisha unaibadilisha wizara ya mdomo.
 
Ni hasira tu! [emoji4]

Kuwa serious life is not act (drama) but life is action

They way you appear ,they ur writing they way you respond - you narrate a story you seem to be depressed and bitch

Shape ur perception


MTU anashindwa akusaidieje kwa kuishi maisha ya maigizo jitahidi uwe unaandika vizuri na kuwa makini.

MTU kukupiga chini ni pamoja na hiyo kuchukulia mambo for granted
 
Hawa First Year wa vyuo wako hivyo hivyo.....hawezi badilika hadi amalize chuo aje mtaani
 
Humu Kuna mijitu itahis hii ni tangazo la nafasi ya kazi kwenye nyeti zako hii nchi ina vijana wapuuzi sijawahi ona
Tatizo comment yako umeshaharibu mpaka nakosa nguvu ya kumpa ushauri mzuri binti, rafiki yangu!
Siku zote wanawake na mabinti wamekuwa wahanga katika mahusiano ya kimapenzi.
 
Hakupendi anataka akufanye wa matumizi ,mchepuko,kiburudisho kahaba wake
 
Sina utoto [emoji2][emoji2][emoj
And I decided to cut him off But akinichek
nashindwa mu ignore kabisa Nimelia sana saana..
Nowadays nakuwa na hasira sana

Yani nikiskia mtoto wa mtu ananiambia ananipenda Natamani nimtukane


Lastly he said even if I get married to another man / when he get married hatoniacha( hii ndo inanipa utata) MENS NAOMBA MNIJIBU

NB: I’m 25

hii part mimi nimeichukua personal sana ina utoto mwingi mno ukiisoma bila kuweka hisia😹😹😹
 

Weka hisia basiii[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…