Nahitaji msaada wa kiroho, uzinzi umenishika

Nahitaji msaada wa kiroho, uzinzi umenishika

Jamani watu wa dini wanasema Mungu ametuketa Duniani kwa mambo 2 kumtukuza na kuijaza Dunia,so sioni kama uzinzi ni kosa maana unatimiza agizo lake.
 
Maanisha Kutoka Moyoni piga goti mbele za Mungu Mwambie shida yako anasikiliza ni Mwokozi wa kila anaemuhitaji, kama umejua tatizo lako basi Yesu yu pamoja nawe, utaweza amen.
 
If you loose your soul and you feel it, there is soul left you can save, hatua mbaya zaidi ya maisha ya mwanadam ni ufikie hatua unafanya dhambi kubwa kubwa alafu nafsi yako haikusuti hata kidogo, yaani huna uwoga hata kidogo na mungu

Yani hapo ni kama mungu amekutelekeza, kaamua kumuacha shetani asimamie maisha yako, unaweza Kuta Kila kitu kipo sawa hela unapata, watoto wanasoma, biashara zinaenda ila ukifikia kuwa umbali mkubwa na mungu kiasi hiko ni hatari sana.

Stay positive. Jilazimishe kwenda nyumba ya mungu mara moja moja utapata maneno mawili matatu kule yatakukumbusha.

Ukiweza mshikirikishe kiongozi wa dini wa karibu yako unayemuamin, akili Yako automatically litaipa uzito ilo swala, pia anaweza kukupa mbinu za kiroho.

Jitaidi kujizuia iwe pombe au wanawake, ni mdogo mdogo lakini hauwezi kuacha Kwa siku Moja.

Shetani hatokaa mbali na wewe katika kipindi iki, lakin utashinda Kwa msaada wake mungu.

God is there, somewhere looking at you, you surprised him, not all of us have time to regrets our sins, wondering where you got those thoughts, curiously looking forward for your next move, there will come more women, more girls, you will get more money to access more bears just to test your soul, how longer you can bear this test, how much longer you can endure this battle, how much far will you go to seek him, how much pleasure you will abandon for him, battling with devil over this one, will you let god down?[emoji28],,hope you will not, all the best mkuu[emoji120]
 
Nahitaji Toba.

Nimefika Hatua Mbaya ya Maisha naona ninamuhitaji Mungu zaidi ya kitu chochote.

Roho ya uzinzi imenishikiria na ninatamani kutoka.,nimekuwa mtu wa kununua wanawake na ninawafurahia,,nimekuwa mtu wa kujaribu pombe,,

Nimeacha kusali.

Siogopi watu wala sijali chochote juu ya maisha yangu.

Neema ya Mungu imeendelea kunikumbusha bado nina nafasi maana Mungu ameendelea kunifungulia milango ya Fedha japo sipo kama nilivyo mwanzo kiroho .

Muda huu ninapoandika kuna binti nimempa mimba nailea,,na bado nina umalaya ndani yangu.

Naombeni msaada wa kiroho.

Nilikuwa kijana mpendwa kabisa.
Tumia tiba ya chumvi itakutoa kwenye hilo shimo la pepo wa ngono
 
Pole sana ,badili mtazamo(mindset) ,hapo umejiendekeza...Tafuta M/ke uoe.
 
Kitendo cha kwamba unajutia uovu unaoufanya ina maana kuna tumaini la wewe kuachana na uovu huo...

Mbaya zaidi ingekuwa kama wafanya uovu na waona ni kawaida tu...

Anza mdogo mdogo kusali mwenyewe hata sala fupi, sikiliza mawaidha/mahubiri kwa sana, then shiriki ibada...
 
Nahitaji Toba.

Nimefika Hatua Mbaya ya Maisha naona ninamuhitaji Mungu zaidi ya kitu chochote.

Roho ya uzinzi imenishikiria na ninatamani kutoka.,nimekuwa mtu wa kununua wanawake na ninawafurahia,,nimekuwa mtu wa kujaribu pombe,,

Nimeacha kusali.

Siogopi watu wala sijali chochote juu ya maisha yangu.

Neema ya Mungu imeendelea kunikumbusha bado nina nafasi maana Mungu ameendelea kunifungulia milango ya Fedha japo sipo kama nilivyo mwanzo kiroho .

Muda huu ninapoandika kuna binti nimempa mimba nailea,,na bado nina umalaya ndani yangu.

Naombeni msaada wa kiroho.

Nilikuwa kijana mpendwa kabisa.
kwa kitendo cha kujitambua na kutaka kuomba msaada wa Mungu basi umepona
 
Pesa na uzinzi vinakwenda pamoja,,

Ngoja siku genge lako la biashara likifilisika utarudi automatically kwenye tabia njema.
 
Nahitaji Toba.

Nimefika Hatua Mbaya ya Maisha naona ninamuhitaji Mungu zaidi ya kitu chochote.

Roho ya uzinzi imenishikiria na ninatamani kutoka.,nimekuwa mtu wa kununua wanawake na ninawafurahia,,nimekuwa mtu wa kujaribu pombe,,

Nimeacha kusali.

Siogopi watu wala sijali chochote juu ya maisha yangu.

Neema ya Mungu imeendelea kunikumbusha bado nina nafasi maana Mungu ameendelea kunifungulia milango ya Fedha japo sipo kama nilivyo mwanzo kiroho .

Muda huu ninapoandika kuna binti nimempa mimba nailea,,na bado nina umalaya ndani yangu.

Naombeni msaada wa kiroho.

Nilikuwa kijana mpendwa kabisa.
Mkuu pole sana sana.

Mungu ana kusudi jema na wewe.

Nakupa namba hizi upige umueleze suala lako utahudumiwa hata ukiwa mbali. Na yeyote anayetafuta msaada kiroho anaweza kupiga namba hii. +255713309108

Mungu akutane nawe akutengeneze upya
 
Sasa ganga la dunia(joke)
si ushushe nondo hapa,namna gani[emoji1]

Sent from my OPPO F1s using JamiiForums mobile app

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza
 
Sasa ganga la dunia(joke)
si ushushe nondo hapa,namna gani[emoji1]

Sent from my OPPO F1s using JamiiForums mobile app

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom