ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,397
Hahahahah kawaida mkuu hali hio inatutokea vijana wengi 23-27 wenye kazi ya kupata kipato na ambao hatujaoa..hata mimi zamani sikuwahi kufikiri kama ningekuja kuromba wanawake zaidi ya mia..ila kiukweli mia washapita....ile kitu inanoga sana unaweza ukafika mpk stage mizoga ukawa unainyonya papuch na mitaro..pumbafuuu acha kuangalia video za porno na huko tiktok au telegram usiende kbs...soma biblia jiunge na mashahidi wa yehova na uhudhuria mikutano yao kwa ukawaida na upate mtu akufundishe biblia ina hazina yote...ila kumbuka jinsi unavyozidi kumkaribia Mungu ndivyo mitego ya ibilisi itakuzidi...atapona yule atakayevumulia mpk mwisho kumbuka tuko nyakati za mwisho