Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,669
- 46,885
Ni mbaya sana kuihalalisha dhambi.If you loose your soul and you feel it, there is soul left you can save, hatua mbaya zaidi ya maisha ya mwanadam ni ufikie hatua unafanya dhambi kubwa kubwa alafu nafsi yako haikusuti hata kidogo, yaani huna uwoga hata kidogo na mungu
Yani hapo ni kama mungu amekutelekeza, kaamua kumuacha shetani asimamie maisha yako, unaweza Kuta Kila kitu kipo sawa hela unapata, watoto wanasoma, biashara zinaenda ila ukifikia kuwa umbali mkubwa na mungu kiasi hiko ni hatari sana.
Stay positive. Jilazimishe kwenda nyumba ya mungu mara moja moja utapata maneno mawili matatu kule yatakukumbusha.
Ukiweza mshikirikishe kiongozi wa dini wa karibu yako unayemuamin, akili Yako automatically litaipa uzito ilo swala, pia anaweza kukupa mbinu za kiroho.
Jitaidi kujizuia iwe pombe au wanawake, ni mdogo mdogo lakini hauwezi kuacha Kwa siku Moja.
Shetani hatokaa mbali na wewe katika kipindi iki, lakin utashinda Kwa msaada wake mungu.
God is there, somewhere looking at you, you surprised him, not all of us have time to regrets our sins, wondering where you got those thoughts, curiously looking forward for your next move, there will come more women, more girls, you will get more money to access more bears just to test your soul, how longer you can bear this test, how much longer you can endure this battle, how much far will you go to seek him, how much pleasure you will abandon for him, battling with devil over this one, will you let god down?[emoji28],,hope you will not, all the best mkuu[emoji120]
Nilikua mwanachama hai wa chaputa kila akilo ya kuacha ikija unapuuza ila baada ya muda unajutia ulichofanya.
Hii kujutia ni kua bado roho wa Mungu bado yuko na ww.