"Your silence will not protect you" ni bora mtu kuweka shida yako wazi ili watu wa sure wale, wawe tayari kukusaidia, kuliko kukaa kimya ndg yangu, na kupongeza wa ni mtu jasiri sana na utafanikiwa kuliko kukaa kimya maana kimya yako haita kusaidia ndg yangu, nothing come from nothing, mwlm wangu alikuwa anapenda kutumia haka Kaneno, yaana, ungetulia ingekuwa hivyo no one who will know your need, but kwa sababu umeongea basi utasaidiwa watanzania tunaomba tujenge utamaduni wa kuhurumia maana mtu mwenye huruma ni mwelewa, tabia ya upendo,na kuumia juu ya hitaji lako, hayo ndo Maisha yetu ya watanzania Leo kusaidiana na kutoana hii ndo sifa yetu, sisi ni wakarimu tangia zamani, mm niliwahi kwenda kenya mwaka 2012 nilifika ni kaenda kwa mgahawa mmoja, nilifika watu Wale ni wachoyo sana, kila mtu alikuwa anakula amekumbatia sahani yake lakini mm nilingia ni kununua chakula nikaanza kula na kupiga story na uzuri mzee mmoja alikuwa pembeni akaanza kupiga story na I asked an elder why watu wengi wa hapa siyo wakarimu akasema, hawapendani, hivyo akasema wakenya wengi hawapendani na ndiyo maana we receives small numbers of tourists par year, sababu ya tabia hii, kwa hiyo jamani tudumishe utamaduni wetu wa kusaidiana ss kwa ss maana nikimnukuu mother teresa alitamka maneno haya "I see jesus in every human being, i say to myself, this is hungry jesus, i must feed him, this is sick jesus, this one has leprosy or gangrene i must wash him, and tend to him I serve because i love jesus "haya ndiyo mambo yaliyo pelekea mother teresa akaanzisha makampuni ya kusaidia, hivyo jamani mtu anapo patwa na shida hebu jaribu kuguswa, ndg yangu toa msaada hata wa fikira ni msaada mkubwa kuliko, hata fedha zako unazo zificha bank acha jokes in the serious issues, wenzetu weupe wanatuzidi kutoa msaada, ndiyo maana wana mitaji ya fikira ubunifu na wamebarikiwa sana, tumsaidie huyu tutabarikiwa, about matapeli hawa, ni wajinga tusitumie kigezo hiki kunyima watu misaada hu ni uchoyo matapeli c kama huyu mwamini tu ingia tu PM, muite aje umsaidie, siku moja jamaa, alimsaidia Dada mmoja nauli baada ya kuwa Dada huyo anarudi likizo kutoka SAUt Augustine university, Mara baada ya ya Dada huyo kuibiwa fedha nyagezi stand, basi Kaka huyo alikuwa anakuja dar Es Salaam, bac katika safari hiyo , kk akasema na enda interview huko dar, Dada akamuliza una mtu wa kukupigia debe akasema hapana, Dada akasema, naomba uchukue namba yangu, nitakuunganisha na mtu Fulani ambaye atawafanyia interview hii huyu atakuvusha ndg yangu maana umenisaidia basi jamani kwa kweli jamaa hakuamini mpaka sasa ni manager wa bank ya maana hapa dar es Salaam, sasa ndg Zangu penda kusaidiana, maana kusaidiana kunalipa, kijana huyu waweza kusaidia baadaye akaja kuwa mtu wa muhimu kwako, "a new commandment, i give to you, that you love one another, just as I have loved you, also to love one another. By this all people will know that you are my disciple, if you have love for one another" look John 13:34 - 35, I beg you please try kusaidia watu kama hawa, toa msaada, na ww utaongezewa ndg yangu pia jamani jaribu, think positive before you make a comment, kwa sababu comments za wengine zina miitazamo negative na bored "look deep into nature and then you will understand everything better "by Albert Einstein hii nukuu itumie katika Maisha jaribu kufikiria ndiyo itawasaidia before you contribution, kama huna kaa kimya ndg yangu,namnukuu jk aliwahi kusema" funika kombe mwana haramu apite" watu wapo wanawiwa kutoa kama unajua ww siyo mtoaji kaa kimya jamaa mmoja aliwahi kusema kuwa "a meaningful SILENCE is always better than a meaningless Words "jamani ni bora ukae kimya kuliko kuongea maneno ya sio na maana. Naomba mmsaidie huyu muhitaji ndg Zangu asanteni sana