Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

Nahitaji msaada wa kifedha, nimekwama

mkuu nashukuru kwa wazo lako japo bado sijaonana na Miss Natafuta ,pia kanambia kuna kazi ila bado nitakuwa sijatatua tatizo lote kama hela ya kumalizia mradi wangu na kodi tu!!! ambavyo vyote vinahitaji laki sita (600,000), hii ni hela ambayo inahitajika haraka sana maana mda unakaribia kuisha!!! ila dada Miss natafuta kasema kunitafutia sehemu ya kibarua cha kulipia kwa siku angalau siku zisogee nipate ya matumizi ya mambo ya kawaida!!! nafikiri umenielewa Mkuu!!
kwa hiyo bado nahitaji mtu atakayeweza kunikopesha hiyo laki sita ili nitatue hili tatizo la haraka sana!!
Kwa siku 15,000
15,000 × 30 =450,000
Matumizi yako ya mwezi mzima 150,000 baada ya miezi miwili ushapata hio 600,000. Pia ni PM sio DM
 
Unataka uanze juu mno.
Ulivyojieleza naona mtaji mkubwa tuu.
Kama uko serious anza na juice ya miwa. Haihitaji freezer wala vikorokoro ulivyovitaja.
Usiangalie mbali.
Au biashara ya vitafunwa kwenye sehemu za kazi au kusambaza mahotelini au maduka !
Umeshatoka !! Chukua hatua !!
 
Mambo haya yawafunze vijana wengine kuziitumia vyema nafasi zao za kazi walizozipata kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa nidhamu ya hali ya juu.....upo hapo ulipo si kwa ujanja wako na maarifa yako bali ni kwa neema tu......muumba amewanyima mamilioni ya watu nafasi hiyo na kukuzawadia wewe.......

Ukitaka kuuona utukufu wa Mungu kwako....basi watazame wa chini yako.....maana kupitia kwao ndio utaweza kuona jinsi gani ulivyo barikiwa.....na maisha unayoyaona wewe kuwa ni ya mateso kuna watu wanayatamani maisha hayo kwani wanaona kama unaishi peponi......

Maisha ni safari ndefu sana na katika safari hiyo lolote linaweza kutokea kwa hivyo kufika salama ni kwa neema tu na wala sio kwa mujanja yetu......ridhiki ni mafungu saba muumba humpa amtakaye.....

Huyu anayeomba msaada leo wa kujiajiri baada ya muda fulani anaweza akawa ni mmiliki wa kampuni kubwa tu na kutoa ajira nyingi zaidi kwa vijana wenzie.....

Maishani mwako usimdharau binadamu mwenzie kwa hali yoyote ile....kama unaombwa msaada na upo kwenye nafasi ya kuweza kumsaidia msaidie kwa kadri ya uwezo wako......kama huna uwezo huo basi jitahidi umuache japo na tabasamu....kwani kati yetu pamoja na mapambano tunayopambana ya kimaisha lakini bado hakuna mwenye uhakika wa kesho yake itakuwaje maana ni siri nzito....,.,

THINK BIG......
 
mimi ninafanya kazi kampuni ya ujenzi ngoja niangalie kwa matechnician wetu kesho kuna kazi gani site nikuambie uende huko maana kwa siku ni elf 10 hadi 15 nadhani
kuna kujenga ,zege ,kuna barabara kazi mbalimbali nk
nitakupa mrejesho
upo tayari kwenda hata mikoani sio?
Usianze kuleta visingizio na sababu hata kazi yenyewe haija patikana.
Kama itapatikana naomba unicheki pm nitakupa nauli, lakini iwe kweli kazi imepatikna
sawa mkuu,nimekuelewa! ila sasa sina hata nauli itakuwaje?
 
Kama hataki kufanya kazi, basi asitegemee kuipata hiyo pesa kwasababu pia hata hao watakao mkopesha wamefanya kazi ndipo wakaipata hiyo pesa.
Hahaha hapo hata mm ndo aliponishangaza kwakwl
 
With all the due respect nathubutu kusema wewe ni Muongo! Na pia haupaswi kuaminiwa....nimepitia moja ya thread zako uliyowahi kuileta hapa....na humo ulituambia kwamba haukufanikiwa kumaliza chuo,uliishia mwaka wa pili kwa sababu ulizozitaja wewe! Lakini leo unaleta story kwamba chuo ulimaliza lakini bado haujapata Cheti.! Kwa Uongo huo tu nimejiridhisha kuwa haupaswi Kupewa dhamana! Naamini unajua vizuri naongelea nini
kumbe muongo
 
mkuu nashukuru kwa wazo lako japo bado sijaonana na Miss Natafuta ,pia kanambia kuna kazi ila bado nitakuwa sijatatua tatizo lote kama hela ya kumalizia mradi wangu na kodi tu!!! ambavyo vyote vinahitaji laki sita (600,000), hii ni hela ambayo inahitajika haraka sana maana mda unakaribia kuisha!!! ila dada Miss natafuta kasema kunitafutia sehemu ya kibarua cha kulipia kwa siku angalau siku zisogee nipate ya matumizi ya mambo ya kawaida!!! nafikiri umenielewa Mkuu!!
kwa hiyo bado nahitaji mtu atakayeweza kunikopesha hiyo laki sita ili nitatue hili tatizo la haraka sana!!
kwaheri endelea kutafuta suluhisho la matatizo yako
 
Yani Kuna vitu vinashangaza Sana!unamatatizo unaomba usaidiwe unapatiwa kazi uifanye ili upate pesa yakutatua matatizo yako unang'ang'ania upatiwe pesa!sio kwa usawa huu kijana!!

Miss natafuta toa fursa hiyo kwa watu wengine ama hakika Kuna watu wana uhitaji wa kazi .
 
Ni kweli ndugu yangu lakini kuna wakati sio kila jambo tunalo lipanga huja hivyo hapana ndio maana kuna neno kuakhirisha jambo au wahenga hunena maji yakizidi unga ugali haupikiki una koroga uji siku inapita.
Laki sita sio maji mafupi kwa usawa huu tulionao sisemei wengine ila kuipata kwa haraka haraka ni mtihani mkubwa endelea kupigana ila kwa maoni yangu ungejaribu kujikita kwenye mipango mingine kwanza hilo la project yako ungeliweka pending kwanza.
nashukuru mkuu,hata mie natamani hivyo ila issue ya muhimu na ya haraka zaidi just kodi tu na hela ya maji,umeme etc! na vinahitajika haraka! yaan ningepata hivyo tu mbona ningepambana taratibu tu Mkuu
 
Yani Kuna vitu vinashangaza Sana!unamatatizo unaomba usaidiwe unapatiwa kazi uifanye ili upate pesa yakutatua matatizo yako unang'ang'ania upatiwe pesa!sio kwa usawa huu kijana!!

Miss natafuta toa fursa hiyo kwa watu wengine ama hakika Kuna watu wana uhitaji wa kazi .
Hivi kweli mkuu umesoma vizuri tangazo langu na kulielewa vizuri? kwa nini binadamu tuko hivi?? unajua saa nyingine tatizo sio kiwango cha pesa ila tatizo ni mda! nimesema kwa upande wa kodi ni siku chache tu zimebaki! so hata nikifanya kazi sitakanilisha! Mkuu unafikiri mimi napenda kuomba omba?? au unafikir mi tapeli?? kama isingelikuwa kodi mbona ningepambana tu taratibu?? jaman tuwe wepesi saa nyingine! pia sijakataa kazi naomba unielewe vizuri
 
Kama hataki kufanya kazi, basi asitegemee kuipata hiyo pesa kwasababu pia hata hao watakao mkopesha wamefanya kazi ndipo wakaipata hiyo pesa.
Mkuu napendekeza bora usome vizuri thread nzima tangia mwanzo na unielewe vizuri! usiwakatishe tamaa watu wenye mioyo yao mizuri na wenye uwezo wa kutoa! pia usidhani ni rahisi kuja kuanza kuomba humu na pia usifijir mimi napenda au ni muhuni!
nimetoa option kama mtu ukitaka kujua extra details niPM ,si ungefanya hivo mkuu?
 
Mambo haya yawafunze vijana wengine kuziitumia vyema nafasi zao za kazi walizozipata kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa nidhamu ya hali ya juu.....upo hapo ulipo si kwa ujanja wako na maarifa yako bali ni kwa neema tu......muumba amewanyima mamilioni ya watu nafasi hiyo na kukuzawadia wewe.......

Ukitaka kuuona utukufu wa Mungu kwako....basi watazame wa chini yako.....maana kupitia kwao ndio utaweza kuona jinsi gani ulivyo barikiwa.....na maisha unayoyaona wewe kuwa ni ya mateso kuna watu wanayatamani maisha hayo kwani wanaona kama unaishi peponi......

Maisha ni safari ndefu sana na katika safari hiyo lolote linaweza kutokea kwa hivyo kufika salama ni kwa neema tu na wala sio kwa mujanja yetu......ridhiki ni mafungu saba muumba humpa amtakaye.....

Huyu anayeomba msaada leo wa kujiajiri baada ya muda fulani anaweza akawa ni mmiliki wa kampuni kubwa tu na kutoa ajira nyingi zaidi kwa vijana wenzie.....

Maishani mwako usimdharau binadamu mwenzie kwa hali yoyote ile....kama unaombwa msaada na upo kwenye nafasi ya kuweza kumsaidia msaidie kwa kadri ya uwezo wako......kama huna uwezo huo basi jitahidi umuache japo na tabasamu....kwani kati yetu pamoja na mapambano tunayopambana ya kimaisha lakini bado hakuna mwenye uhakika wa kesho yake itakuwaje maana ni siri nzito....,.,

THINK BIG......
Nashukuru sana mkuu!! kuna watu wanafikiri kila anayekuja kuomba hapa ni tapeli,muingo,mvivu,mjinga yaan wanawaza mambo mengi! saa nyingine mtu wa pembeni hawezi elewa situation mtu anayokuwa nayo!
nimetoa option ya mtu atakayekuwa na wasiwasi aniPM ila hawakufanya hivo ila wanakuja kuongea hapa mammbo ambayo yanawakatisha tamaa watu wenye nia na uwezo wao kusaidia mtu! no body knows what the future is holding for them!
kikubwa ni kuwa fair na kila mtu unayekutana nae njiani
 
wewe ni mvivu...site ziko kibao umeshindwa kwenda kufanya kibarua kwa mafundi?
 
Back
Top Bottom