Mimi idea ya mkopo wa laki sita kwangu haiuziki na kwa entrepreneur yoyote haikai vizuri, in short sio feasible, risk ni kubwa sana. Sio kwamba hautakuwa mkweli, lakini haijakaa kibiashara, jaribu kutengeneza mpango biashara (business plan) utaona. Unataka huo mkopo uutumie kwenye kodi, ule and the rest ndio ui-subject kwenye biashara.
Mazingira yatakuwia magumu sana kwenye biashara na utambabaisha huyo aliyekupa. Sijui kama umeshafanya lakini biashara sio straight kama unavyoplan.., kuna lessons(makosa) huko ambayo tuition fee yake ndo mtaji ulionao. Sasa wewe haungizi pesa yote unayodaiwa, hauna back up plan, in case things goes wrong, na bado utahitaji kurudisha pesa ya kodi ya nyumba na chakula kutoka kwenye hiyo start up!!!!!?
Sikukatishi tamaa. Ila invert your plan. Start with an employed role somewhere while you are focusing to build capacity of your entrepreneur plan. Save(for backup) and invest until your comfortable fine with your business venture, then quit and offer full attention to the venture. Don't forget to employ spirit on the go. That's my advice.
By the way did you do Maths in your high school. If you are good in Maths, there is a spot somewhere, I can connect you and you may try your lucky.
Regards.