STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Miss Natafuta namimi nataka kubeba zege, si utanizamini????jamaa haeleweki msome vizuri mimi napenda mtu straight sipo nae tena

achaneni na mimi bna mwanaume hadhaminiki atiiMiss Natafuta namimi nataka kubeba zege, si utanizamini????
Its a teaching role, Maths O-level, if you are comfortable with maths, let me know.Samahani mkuu, umenena jambo jema saba! Kama kuna walau nafasi ya uhasibu mahali hapo waweza kuniunganisha mkuu! Uaminifu ndio nguzo ya maisha yangu...!!! Nisamehe tena..kwa kwenda nje ya mada.
Regards.
Miss Natafuta naruhusiwa kukutafuta??!!achaneni na mimi bna mwanaume hadhaminiki atii
watu wana haraka ya hela balaa
mkuu naelewa sana unachokizumgumzia,nashukuru sana kwa ushauri wako!Mimi idea ya mkopo wa laki sita kwangu haiuziki na kwa entrepreneur yoyote haikai vizuri, in short sio feasible, risk ni kubwa sana. Sio kwamba hautakuwa mkweli, lakini haijakaa kibiashara, jaribu kutengeneza mpango biashara (business plan) utaona. Unataka huo mkopo uutumie kwenye kodi, ule and the rest ndio ui-subject kwenye biashara.
Mazingira yatakuwia magumu sana kwenye biashara na utambabaisha huyo aliyekupa. Sijui kama umeshafanya lakini biashara sio straight kama unavyoplan.., kuna lessons(makosa) huko ambayo tuition fee yake ndo mtaji ulionao. Sasa wewe haungizi pesa yote unayodaiwa, hauna back up plan, in case things goes wrong, na bado utahitaji kurudisha pesa ya kodi ya nyumba na chakula kutoka kwenye hiyo start up!!!!!?
Sikukatishi tamaa. Ila invert your plan. Start with an employed role somewhere while you are focusing to build capacity of your entrepreneur plan. Save(for backup) and invest until your comfortable fine with your business venture, then quit and offer full attention to the venture. Don't forget to employ spirit on the go. That's my advice.
By the way did you do Maths in your high school. If you are good in Maths, there is a spot somewhere, I can connect you and you may try your lucky.
Regards.
inategemea mkuu?Miss Natafuta naruhusiwa kukutafuta??!!
Na nini?inategemea mkuu?
Nimekupata vema mkuu! Ingawa nilifanya vizuri kwa kupata highest grade as long as mathematics is regarded o-level...ila sikusoma pure maths high school! Thus, sina hakika sana kama naweza kufundisha maths kwa sasa kwa kuwa ni miaja kadhaa imepita tangu ni-solve ...labda hesabu za fedha tu..ndio ninazojua(accounting)...shukrani sana mkuu.Its a teaching role, Maths O-level, if you are comfortable with maths, let me know.
mkuu naelewa sana unachokizumgumzia,nashukuru sana kwa ushauri wako!
mkuu back up plan ninayo na pia kuhusu huyo atakayenipa mkopo huo nataka niongee nae tuone ananipa kwa riba kiasi gani na kila baada ya muda gani au ananikopesha/kunipa pesa kwa misingi ipi na ipi! mkuu naelewa sana mambo ya risk na calculated risk! nahitaji kuaminika katika hili! japo naelea business inakuwaga na milima na mabonde ila kulipa mkopo ni lazima by any means!
kuhusu kama nimesoma Mathematics bahati mbaya kaka sijasoma hiyo, nimesoma HGL lakin hata kama itapatikana kazi itakayonifaa kwa masomo yangu hayo na uhasibu chuo japo sikumaliza nitashukuru sana kama utaniunganisha au kunipatia!
Bwana Hamis pole sana kama unayosema ni kweli, ni wengi tumeyapitia maisha kama yako, tulivumilia tukavuka. Jipe moyo Mungu atafungua milango, japo shida yako ni Pesa hata ushauri ni muhim zaidi ya Pesa unazotaka. Nitakufuata PmHabari za humu ndani?
samahani kwa nitayemuudhi labda kwa kuweka wazi sana maisha yangu, ila waswahili husema mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua! Najua humu ndani kuna watu wakubwa,wenye nyazifa tofauti,matajiri wenye uwezo tofauti,wafanya biashara, watu wenye fani tofauti n.k .
Naomba mnisikilize nakuja mbele yenu ninaomba msaada wenu na natumahi kuwa ipo siku ambayo haina tarehe wala saa nitarudisha fadhira kwa atakayenitoa katika shimo hili.
Mimi ninakaa Dar es salaam, katika kipindi cha kusoma kwangu nimejitahidi kukusanya hela kiasi japo kwa shida sana sana ili zije zinisaidie baadae! nilivomaliza ikabidi sasa nianze kutumia hizo hela katika kujitegemea na kutafuta maisha kiujumla! nikawaza nifanye biashara gani ambayo ni risk calculated business! nikaona afadhari biashara ya juice kwa kuzingatia hali ya jiji hili la Dar!
Basi kiasi fulani cha hela nikanunua freezer, brender na juice dispenser pamoja na nikatengeneza baiskeli maalumu itakohusika na usambazaji wa juice! kwa kuwa ndo kipindi cha joto kinaanza sasa nikawa natakiwa nianze kazi rasmi!
MTIHANI SASA
hizo hela nilizojitahidi kuzikusanya kwa shida sana sasa zimeisha kutokana na kwamba nimenunulia hivyo vifaa na pia kwa matumizi binafsi ukizingatia hamna mtu ninae mtegemea anipe hela ya matumizi!
Mzazi wangu nashindwa kumuomba maana yeye sasa hivi ana mitihani saa nyingine nikimsikiliza japo kwenye simu nataman hata kulia!! Sasa kwa sasa sina hata hela ya kula, nimekuwa mtu wa kuomba omba ili mradi tu nipate ya kula, ndani sina kitanda wala godoro nimelalia chini kwenye sakafu mpaka sasa najiuliza kwa nini mimi??
Kodi inakaribia kuisha nina karibia mwezi mmoja hivi kodi kuisha pia ninahitaji hela ya kulipia kwa mwezi kama umeme,maji na usafi n.k !! tangia nianze kusoma sijawahi kupata raha maana kila siku imekuwa ni mitihani tu!! nimemaliza chuo bado ni mitihani tu na naona inazidi!!
Nimesoma chuo bila mkopo na kushinda njaa ni kitu ambacho ni utaratibu wa kila siku ila kwa sasa mpaka inafikia hatua sijui kesho yake nitakula nini!!! Mtu unaweza kujiuliza kwamba kwa nini nisitafute kazi??? kazi zinataka ujuane na watu na pia kazi siwezi kuipata sasa hivi na nilipwe sasa hivi ukizingatia sasa hivi sina hata cheti!
Pia kuhusu kufanya kazi hata za kutwa nipate hela ya kula imekuwa ngumu kutokana na kwamba kila siku nimekuwa mtu wa kuzunguka kutafuta jinsi ya kutatua matatizo haya! kwa hiyo mpaka nikaona siwezi kupata mda wa kufanya kazi hata itakayonipatia elfu tano kwa siku!!
Nimehangaika sana kutafuta mtaji wa kuendeleza hii biashara yangu ila nimekitana na mitihani mingine zaidi maana sina nyumba wala ardhi wala leseni ili kuweka kama dhamana pia hata watu wanaotoa kwa riba nao wana masharti magumu sana ukizingatia sina kitu cha thamani zaidi kuweka kama bond!! Nimetafuta kwa ndugu,jamaa na marafiki ila kila mtu ananiambia hana hana kabisa mpaka ninabaki nikiwa sina jinsi ya kufanya nikaona nije hapa ili kuona kama kuna mtu ataweza kunisaidia katika hili!!
Mimi binafsi nimesomea biashara na ninapenda biashara! napenda sana ujasiriamali na nina ndoto kubwa sana za kutoka kimaisha na kuwa successful person hapo baadae!! Nina amini katika kupambana zaidi na nina penda kuchakalika huku na huku kufanya biashara! Pia nina uzoefu na kazi na hotel, mambo ya juice n.k
NINACHOHITAJI
Naomba mtu ambae anatamani na ana uwezo wa kunisaidia anisaidie maana nipo katika kipindi kigumu zaidi katika maisha! ninaomba mtu anikopeshe laki sita tu ili niweze kulipia kodi pamoja na kumalizia mradi wangu! kiasi nimeamua kulipia kodi kwa sababu vifaa vya kutumika katika uzalishaji ninavyo kama freezer, brender na juice dispenser ila ni marekebisho kidogo tu yanahitajika kuongezewa kwenye juice dispenser na hiyo baiskeli maalum niliyotengeneza!!! Kwa hiyo niko serious na hela hizi!!!
Ninaomba hata kama mtu akitaka kunikopesha kwa riba na tukaandikiana niko tiyari na akitaka niweke bondi vitu vyangu ntaomba vitu niendelee kuwa navyo maana ndivyo nitakavyokuwa natumia katika uzarishaji!!! Ila hata kama mtu atataka kujitolea kama msaada tu napenyewe nitashukuru sana maana na Mungu nae atamuongezea zaidi!
Usiwe na wasiwasi labda hela nitairudisha vipi ni kwamba nikipata hicho kiasi nitarekebisha juice dispenser yangu na nitaiweka sehemu penye watu wengi nina imani nitauza tu na ukizingatia juice ina faida tu nzuri na pia kwa hapa Dar es salaam itaenda vizuri. Pia kwa kutumia hiyo baiskeli nitamuweka kijana ambaye atasambaza mjini ili niwe na uhakika hela inarudi haraka sana! hata hivyo kwa kutumia freezer yangu naweza kuongeza biashara nyingine kama maziwa mtindi , ice cream,maji n.k! nima imani hela nitaweza kuirudisha!
Binafsi nilitamani milioni moja ili angalau nipate hata hela ya kununulia godoro au kitanda cha kawaida sana maana inaumiza sana kulala chini kwa mda mrefu! lakini kwa yeyote mwenye uwezo nitashukuru sana akinisaidia hiyo laki sita au akiweza hata milioni moja tu!
MATEGEMEO YANGU
Kama nikibahatika kwa siku nikatengeneza 20,000 haya yakiwa ni makadirio ya chini zaidi ina maana kwa mwezi nitapata laki sita! na pia kumbuka faida inaweza kuongezeka zaidi hata kufikia 40,000 na zaidi! kwa maana hiyo nitaweza kurejesha mkopo huo baada ya mda furani!
Naomba mtu mwenye uwezo aniamini maana naelewa hii ni pesa pia naelewa hichi ni kipindi kigumu sana pesa haipatikani kirahisi! lakin hata hivyo ntaomba mtu huyo aniamini sana maana nina uchungu sana na maisha !!!! pia mimi sio mtu wa starehe sinywi pombe,sivuti sigara,naishi mwenywe na sina mke wala mtoto! naomba msaada wenu tafadhari.
Atakayehitaji aniandikie sms DM ili tuweze kuwasiliana zaidi!
sawa mkuu nashukuru na nakusubir PMBwana Hamis pole sana kama unayosema ni kweli, ni wengi tumeyapitia maisha kama yako, tulivumilia tukavuka. Jipe moyo Mungu atafungua milango, japo shida yako ni Pesa hata ushauri ni muhim zaidi ya Pesa unazotaka. Nitakufuata Pm
Miss Natafuta usinifanyie ivyo, mwenzio nitakufa na njaa,achaneni na mimi bna mwanaume hadhaminiki atii
watu wana haraka ya hela balaa
Mkuu kazi ya kumpa sina wala sitaki kumpa tamaa lakini hio hesabu niliompa, kama kweli anataka mafanikio basi ajaribu. Kwenye maisha haya hakuna muaminifu kihivyo sio wote lakini asilimia chache sana ndio wakweli. Hata Bill Gate alianza na kazi ya kutumwa mpaka akafika alipo. Sasa huyu anapapara ya nini? Au anaogopa kupiga zege?Mkuu mi nlidhani utamsaidia hata kazi ya kukufagilia nyumba
Sasa wewe
Hayo mafriji si uyaweke bond kwa huyo mwenye nyumba wako huku ukiendelea kuyatumia?? mimi nnavyojua hawezi kukutimua kwa kumpa ombi hilo as long as ni mpangaji wake mtiifu,
sasa Kama ameshindwa kukuamini mwenye nyumba wako unafkiri humu nani atakuamini?
Kaka Pole sana kwa yanakusibu!Habari za humu ndani?
samahani kwa nitayemuudhi labda kwa kuweka wazi sana maisha yangu, ila waswahili husema mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua! Najua humu ndani kuna watu wakubwa,wenye nyazifa tofauti,matajiri wenye uwezo tofauti,wafanya biashara, watu wenye fani tofauti n.k .
Naomba mnisikilize nakuja mbele yenu ninaomba msaada wenu na natumahi kuwa ipo siku ambayo haina tarehe wala saa nitarudisha fadhira kwa atakayenitoa katika shimo hili.
Mimi ninakaa Dar es salaam, katika kipindi cha kusoma kwangu nimejitahidi kukusanya hela kiasi japo kwa shida sana sana ili zije zinisaidie baadae! nilivomaliza ikabidi sasa nianze kutumia hizo hela katika kujitegemea na kutafuta maisha kiujumla! nikawaza nifanye biashara gani ambayo ni risk calculated business! nikaona afadhari biashara ya juice kwa kuzingatia hali ya jiji hili la Dar!
Basi kiasi fulani cha hela nikanunua freezer, brender na juice dispenser pamoja na nikatengeneza baiskeli maalumu itakohusika na usambazaji wa juice! kwa kuwa ndo kipindi cha joto kinaanza sasa nikawa natakiwa nianze kazi rasmi!
MTIHANI SASA
hizo hela nilizojitahidi kuzikusanya kwa shida sana sasa zimeisha kutokana na kwamba nimenunulia hivyo vifaa na pia kwa matumizi binafsi ukizingatia hamna mtu ninae mtegemea anipe hela ya matumizi!
Mzazi wangu nashindwa kumuomba maana yeye sasa hivi ana mitihani saa nyingine nikimsikiliza japo kwenye simu nataman hata kulia!! Sasa kwa sasa sina hata hela ya kula, nimekuwa mtu wa kuomba omba ili mradi tu nipate ya kula, ndani sina kitanda wala godoro nimelalia chini kwenye sakafu mpaka sasa najiuliza kwa nini mimi??
Kodi inakaribia kuisha nina karibia mwezi mmoja hivi kodi kuisha pia ninahitaji hela ya kulipia kwa mwezi kama umeme,maji na usafi n.k !! tangia nianze kusoma sijawahi kupata raha maana kila siku imekuwa ni mitihani tu!! nimemaliza chuo bado ni mitihani tu na naona inazidi!!
Nimesoma chuo bila mkopo na kushinda njaa ni kitu ambacho ni utaratibu wa kila siku ila kwa sasa mpaka inafikia hatua sijui kesho yake nitakula nini!!! Mtu unaweza kujiuliza kwamba kwa nini nisitafute kazi??? kazi zinataka ujuane na watu na pia kazi siwezi kuipata sasa hivi na nilipwe sasa hivi ukizingatia sasa hivi sina hata cheti!
Pia kuhusu kufanya kazi hata za kutwa nipate hela ya kula imekuwa ngumu kutokana na kwamba kila siku nimekuwa mtu wa kuzunguka kutafuta jinsi ya kutatua matatizo haya! kwa hiyo mpaka nikaona siwezi kupata mda wa kufanya kazi hata itakayonipatia elfu tano kwa siku!!
Nimehangaika sana kutafuta mtaji wa kuendeleza hii biashara yangu ila nimekitana na mitihani mingine zaidi maana sina nyumba wala ardhi wala leseni ili kuweka kama dhamana pia hata watu wanaotoa kwa riba nao wana masharti magumu sana ukizingatia sina kitu cha thamani zaidi kuweka kama bond!! Nimetafuta kwa ndugu,jamaa na marafiki ila kila mtu ananiambia hana hana kabisa mpaka ninabaki nikiwa sina jinsi ya kufanya nikaona nije hapa ili kuona kama kuna mtu ataweza kunisaidia katika hili!!
Mimi binafsi nimesomea biashara na ninapenda biashara! napenda sana ujasiriamali na nina ndoto kubwa sana za kutoka kimaisha na kuwa successful person hapo baadae!! Nina amini katika kupambana zaidi na nina penda kuchakalika huku na huku kufanya biashara! Pia nina uzoefu na kazi na hotel, mambo ya juice n.k
NINACHOHITAJI
Naomba mtu ambae anatamani na ana uwezo wa kunisaidia anisaidie maana nipo katika kipindi kigumu zaidi katika maisha! ninaomba mtu anikopeshe laki sita tu ili niweze kulipia kodi pamoja na kumalizia mradi wangu! kiasi nimeamua kulipia kodi kwa sababu vifaa vya kutumika katika uzalishaji ninavyo kama freezer, brender na juice dispenser ila ni marekebisho kidogo tu yanahitajika kuongezewa kwenye juice dispenser na hiyo baiskeli maalum niliyotengeneza!!! Kwa hiyo niko serious na hela hizi!!!
Ninaomba hata kama mtu akitaka kunikopesha kwa riba na tukaandikiana niko tiyari na akitaka niweke bondi vitu vyangu ntaomba vitu niendelee kuwa navyo maana ndivyo nitakavyokuwa natumia katika uzarishaji!!! Ila hata kama mtu atataka kujitolea kama msaada tu napenyewe nitashukuru sana maana na Mungu nae atamuongezea zaidi!
Usiwe na wasiwasi labda hela nitairudisha vipi ni kwamba nikipata hicho kiasi nitarekebisha juice dispenser yangu na nitaiweka sehemu penye watu wengi nina imani nitauza tu na ukizingatia juice ina faida tu nzuri na pia kwa hapa Dar es salaam itaenda vizuri. Pia kwa kutumia hiyo baiskeli nitamuweka kijana ambaye atasambaza mjini ili niwe na uhakika hela inarudi haraka sana! hata hivyo kwa kutumia freezer yangu naweza kuongeza biashara nyingine kama maziwa mtindi , ice cream,maji n.k! nima imani hela nitaweza kuirudisha!
Binafsi nilitamani milioni moja ili angalau nipate hata hela ya kununulia godoro au kitanda cha kawaida sana maana inaumiza sana kulala chini kwa mda mrefu! lakini kwa yeyote mwenye uwezo nitashukuru sana akinisaidia hiyo laki sita au akiweza hata milioni moja tu!
MATEGEMEO YANGU
Kama nikibahatika kwa siku nikatengeneza 20,000 haya yakiwa ni makadirio ya chini zaidi ina maana kwa mwezi nitapata laki sita! na pia kumbuka faida inaweza kuongezeka zaidi hata kufikia 40,000 na zaidi! kwa maana hiyo nitaweza kurejesha mkopo huo baada ya mda furani!
Naomba mtu mwenye uwezo aniamini maana naelewa hii ni pesa pia naelewa hichi ni kipindi kigumu sana pesa haipatikani kirahisi! lakin hata hivyo ntaomba mtu huyo aniamini sana maana nina uchungu sana na maisha !!!! pia mimi sio mtu wa starehe sinywi pombe,sivuti sigara,naishi mwenywe na sina mke wala mtoto! naomba msaada wenu tafadhari.
Atakayehitaji aniandikie sms DM ili tuweze kuwasiliana zaidi!
Watu kama nyinyi mmebaki wachache sana dunia hii.,..Hongera mkuu kwa moyo huu....kazi kwake mtoa mada.Kaka Pole sana kwa yanakusibu!
Tafadhali sana kama kweli unashida hiyo unayosema na si utapeli, Tafadhali sana naomba Jina lako kamili,Jina la balozi wako wa nyumba kumi na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, namba ya simu na anuani ya unapokaa kwa maana ya mtaa na namba ya nyumba na jina la mwenye nyumba yako.Mimi binafsi nitafika au nitatuma intelijensia yangu na nikithibitisha hayo unayosema yana ukweli mimi binafsi ninaweza kukupa nusu ya hiyo fedha unayohitaji kama mkopo uanze biashara yako na unirudishie bila ya riba.Zingatia maelezo husika na Uni PM.Mwenyezi mungu atulinde na Atubariki wote! Amen!