tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Wakuu nina matatizo makubwa hapa..ngoja niwape scenario halafu mnishauri,mwaka huu jana kama tarehe 24 december ambayo ni jumamosi nilipata cm rafiki yangu yupo kituo flan cha police ana matatizo anahitaji udhamini,nilipotoka kazini nikaenda hadi hapo police,kufika nikakuta ana kesi ya mtandao ya kuiba mil34 za rafiki yake, mimi kwa vile ni rafiki yangu askari walitaka nimdhamini, sikuwa na vielelezo vyovyote pale ila wakampa chance mtuhumiwa aongee na mtu mwengine aje alete barua za serikali ya mtaa, baada ya hapo akaja kweli huyo jamaa mwengine na barua mbili moja yangu na moja yake huyo alokuja kuleta (mimi niliambiwa nimpe jina aje na barua) baada ya hapo akadhaminiwa tukatoka nae,ila kwa haraka ya police ya kutaka pesa za rushwa ili atoke jamaa wakasahau kuniomba picha ya passport size ili waambatanishe kwenye ile barua iliokuja!
na wala sikuweka copy yeyote ya kitambulisho wala sikusign sehemu yeyote,sasa yule jamaa alikua anakwenda kureport na kurudi,jamaa alikua kila akienda kureport anapigwa mizinga ya hela,siku moja wakagundua kama mimi sikuacha picha wala kitambulisho wakamwambia kama ile karatasi yangu ya udhamini ni invalid,..
hivyo wakasema alete nyengine yenye kitambulisho cha kura pamoja na picha iliopigwa muhuri..akapeleka kweli mtu mwengine..jamaa kuna vitu walikosana na askari kwa vile wanataka hela jamaa akapotea kweli ila wazazi wa jamaa walishaandikiana na mtuhumiwa watalipana (waliandikiana kwa mwanasheria) ila jamaa makubaliano ya mwanzo wakishaandikiana basi kesi iondoke police waanze kulipana.(hio ya kuondosha kesi sio kwa maandishi ni verbal)ila wale hawakuondosha kesi
,jamaa akaona wanamzingua amekula kona,sasa askari na anaedai kuibiwa jana wamenifata kwangu na kuanza kusema mimi ndie mdhamini na natakiwa kituoni..yaani wamenidhalilisha maana mtaani najulikana na walijua kama nimemzingua mtu vile..sasa nauliza hivi
1.Hapo katika document yangu kweli mimi nahesabika ndio mdhamini kweli?
2.Kama si kweli naweza kuwafungulia mashataka ya kunidhalilisha
N.B police mpaka sahivi sijakwenda
NAOMBENI MSAADA WENU