Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

swali ulilouliza la uzalilishaji hilo nilishasamehe mkuu ..
 
Yaani hapo jitahidi ukikasirika usiwaze pombe mamy, mie huwa naliaga tuu na naenda sehemu iliyotulia mwenyewe kama masaa mawili narudi nyumbani. Namshukuru Mungu sijui ladha ya pombe
 
Ukiwa na hasira jitaidi kuhesabu mpaka mia kwa kingereza na kiswahili.

Ukiona bado una tatizo ilo vuta bange kisha sikiliza music. Trust me hutajutia na utakuwa mwepesi wa kusamehee.
Acha kumfundisha mwenzako kuvuta madawa ya kulevya.

bora unywe zako pombe achana na Bangi
 
asante mkuu nafanyia kazi
 
Pole sana...inaonekana wewe ni sehemu ya statistics....katika kila watanzania wanne....mmoja ni....
 
Yaani hapo jitahidi ukikasirika usiwaze pombe mamy, mie huwa naliaga tuu na naenda sehemu iliyotulia mwenyewe kama masaa mawili narudi nyumbani. Namshukuru Mungu sijui ladha ya pombe

Yaani una mawazo mob afu unaenda sehemu iliyotulia? si ndio unaongeza mawazo? mie nikiwa na mawazo naenda zangu club napiga zangu vyombo vyakutosa
 
Yaani una mawazo mob afu unaenda sehemu iliyotulia? si ndio unaongeza mawazo? mie nikiwa na mawazo naenda zangu club napiga zangu vyombo vyakutosa
Ndio, sehemu ambayo haina kelele kabisaaa, halafu mie sio muumini wa pombe.
 
Braza umesema ulishakiwa na demu mwenye hali hii.... vip ulikabilianaje na hali yake hiyo?
 
Hilo ttzo hata mm ninalo ila jitahid sana kusoma vitabu na cku utakapoamua kupunguza hasira itakua ndiyo mwisho, nilishawahi kumkata mdogo wangu na Mndo au ishame. umenipata, J from vunjo.
 
Yaani wewe mtu ni mvuta bangi mzuri au muuza bangi sasa unatafuta wateja.

bangi si nzuri kabisa achana nayo
 
Hilo ttzo hata mm ninalo ila jitahid sana kusoma vitabu na cku utakapoamua kupunguza hasira itakua ndiyo mwisho, nilishawahi kumkata mdogo wangu na Mndo au ishame. umenipata, J from vunjo.
nimekupata aisee mi naogopa damu
 
asante mkuu nataka kupona
Ndg. Una maradhi yanayoitwa Mood Swing !! hiyo hutokana na misongo isiyo isha.. Sasa tulizana.. Tiba ikikuvamia pale ulipo ingia bafuni ujimwagie maji!!! Kama wee ni mwiSilam basi chukuwa udhu haraka... God bless you na good luck!!
 
Pole sana Binti.

jaribu kufata ushauri uliopewa huko juu na wadau. na uufanyie kazi pole sana.

siku ukitaka kulewa nitafute tukalewe wote mimi ntakunywesha tu.
Mzee wa songea

Mambo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…