Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

Hio hali ni hali ambayo unaweza kuibadilisha, hasira unaweza kuibadilisha wewe mwenyewe tena kwa kupuuzia tu, kuwa aah kwani kitu gani, najikumbuka mimi mwenyewe nilikuwa nina hasira sana, nyumbani balaa ni kila wakati sitaki kuonewa na rafiki wala kaka wala dada angu, lakini huwezi amini nimejicontrol mpk sasahivi nimekuwa raia wa kawaida kabisa, ata unifanye nini sina time kabisa, tabia hio ukiwa nayo inaendana na kukosa usingizi unakuwa mtu wa mawazo usiku kucha, nimeacha vyote ata unifanye nini sshivi nakoroma tuu yaani nasahau kabisa kama ulinifanya kitu, kwaiyo jicontrol tu, maana hio hali ni hatari kwa afya yako na kwa sifa ya mtoto wa kike
 
"Unakunywa pombe sana ili ULIWE",
Huwa unaliwa kama mdondo?
Duh,mchaga bana,hadi kuliea mpaka unywe!
Endelea kunywa ili uliwe maana starehe yako ni mpaka unye,ila angalia usije kunya
 
Naomba nielewe kitu kabla sijakushauri

ukipata hasira ndo unaenda kunywa ili ulewe na uzime?
na ukishazima unaliwa? na yoyote alie karibu?
ndo hasira zinaisha after ?

nieleweshe hapo kwanza
hapna mkuu huwa nikiasirika naenda kununua pombe za kutosha tu naweka nakuwa nazo chumbani ... na wakati huo najifungia chumbani najidunga tu nikizima nilipozimia hapo hapo nalala... nikiwa na hasira sipendi kuchangamana na yeyote yule
 
]
asante mkuu nitafanyia kazi
 


kiboo mi sijui nilipunguza hasira kwa dawa gani. nahisi uzee unakuja japo bado zipo yaani hata ukiniona kwa macho tu unaniona mtata
ila ninajitahidi kuwambali na wanaoniudhi
huwa nawachana live sikopeshi, ukiniudhi uwe juma abdala, grace, hata bosi wangu nasema papo hapo maana zikipita dakika mbili nimekaa kichwani na kitu inageuka sumu kali mwwilini nikisema namaliza papo hapo.
nilikuwa mlevi sana sababu ya hasira lakini kwa sasa nakunywa kwa starehe na ukata pia unasaidia hahaha
kunywa maji jiepushe kuweka vitu moyoni take it easy bebi......



hasira ni kuchaa cha muda haahahaha usinikasirikie na wewe
 
Duh!
Hasira hadi za kupiga mtu??
Mi pia nina hasira ila sio kwa level hiyo

Ushauri [emoji117]Mimi nikiwa na hasira huwa zinaishia kwa kulia weee adi napitiwa na usingizi
Nikiamka hasira hakuna tena

[emoji117]Ama kama una mchumba ako mpigie, kua karibu nae akupet pet hasira zinapungua

Jaribu hayo
 
hilo tendo mi si kitu nacho penda kufanya .. labda nianze kulifanya mara kwa mara
 
asante mamy
 
hapna mkuu huwa nikiasirika naenda kununua pombe za kutosha tu naweka nakuwa nazo chumbani ... na wakati huo najifungia chumbani najidunga tu nikizima nilipozimia hapo hapo nalala... nikiwa na hasira sipendi kuchangamana na yeyote yule

Dawa yako ni nyepesi sana
unatakiwa upate therapist
na kazi ya therapist ni kuweza kukuwezesha kuongea maumivu yako ya zamani
yaliyokuathiri kichwani

unahitaji tu kuyaongea kwa upana...
nini kilitokea....uliumia kiasi gani.....
kwa mtu mtaalam ambae atakuwezesha kufunga huo ukurasa.....

shida watalaam hawa Tz sio wengi

muone Aunt Sadaka....labda atakusaidia
 
ha haha sawa mkuu
 
asante mkuu
 
Kugundua tatizo pia ni hatua,,Coz umelitambua jitahidi kueleza tu kwa MTU mwingine kupunguza hasira ,,Usijaribu kukaa kimya maana huongeza hasira,,Ila sikutegemea kama upo hivyo miss chaga,,Mimi nakukubali sana,,so jitahidi kuwa kama ulivyo ,,
usiogope its take time kunifikisha kukasirika ila huwa nikikasirika nawaka
 
Ukiwa na hasira jitaidi kuhesabu mpaka mia kwa kingereza na kiswahili.

Ukiona bado una tatizo ilo vuta bange kisha sikiliza music. Trust me hutajutia na utakuwa mwepesi wa kusamehee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…