Sasa mkuu chelsea kafikaje hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanadai eti Chelsea kaonewa wewe unaonaje
Ukiona uko na mwanamke usiku wote yuko macho ujue hujampa vyake sawasawa.Kuna tatizo linanisumbua ni week ya tatu sasa. Nmesafiri kikazi nipo sehemu ya mbali kidogo. Nlifanikiwa kusafiri na secretary ambaye tuna mahusiano ya kimapenzi.
Huku tuliko tunatakiwa kukaa miezi 4 kuna training inafanyika nje ya nchi.huyu dada tulikubaliana ili kubana matumizi tu share room hapa hotel but pia kupeana kampani.
Yeye hajaolewa so yupo huru.dada ni mzuri kwa sura na umbo pia.ni mwanamke ambaye wanaume 10 kati yao 7-9 watasema ni mzuri sana.
TATIZO NI NINI?
huyu dada anakoroma sana usiku. Siyo kidogo.anakoroma kwa sauti mbalimbali ambazo umewahi sikia za mtu kukoroma.
Hapo ndo napata changamoto.binafsi mtu akikoroma nashindwa kabisa kulala.nakumbuka chuo nliwahi kuhama room baada ya kupangiwa room na jamaa anayekoroma.huwa siwezi kulala na ninakereka sana.
Huyu dada ukimwamsha dk moja akigeuka anakoroma tena.sometimes unamwita anaitika akimaliza tu anarudi kukoroma.huwa sielewi inakuaje.nmefikia hatua nameza dawa za usingizi coz najua nikishtuka tu usingizin nikakuta anakoroma ndo silali tena.
Nashindwa kusema nihame room.akiwa hajalala hamna shida tunaenjoy sana tu pamoja.tunafanya yote kwa furaha kama wapenzi wanavyotakiwa kufanya.lakini shida tu inakuja usiku tukilala.
Je, kuna dawa yoyote ya kumsaidia mtu wa namna hii? Kwa mwili yes ana mapaja na makalio makubwa.juu si mnene sana.umbo namba nane.shida inaweza kuwa nini ili pia nimsaidie.maana kiukweli mimi napata shida sijui yeye anajisikiaje.
Basi msisale kama hamtaki kukoromeana.Kuna tatizo linanisumbua ni week ya tatu sasa. Nmesafiri kikazi nipo sehemu ya mbali kidogo. Nlifanikiwa kusafiri na secretary ambaye tuna mahusiano ya kimapenzi.
Huku tuliko tunatakiwa kukaa miezi 4 kuna training inafanyika nje ya nchi.huyu dada tulikubaliana ili kubana matumizi tu share room hapa hotel but pia kupeana kampani.
Yeye hajaolewa so yupo huru.dada ni mzuri kwa sura na umbo pia.ni mwanamke ambaye wanaume 10 kati yao 7-9 watasema ni mzuri sana.
TATIZO NI NINI?
huyu dada anakoroma sana usiku. Siyo kidogo.anakoroma kwa sauti mbalimbali ambazo umewahi sikia za mtu kukoroma.
Hapo ndo napata changamoto.binafsi mtu akikoroma nashindwa kabisa kulala.nakumbuka chuo nliwahi kuhama room baada ya kupangiwa room na jamaa anayekoroma.huwa siwezi kulala na ninakereka sana.
Huyu dada ukimwamsha dk moja akigeuka anakoroma tena.sometimes unamwita anaitika akimaliza tu anarudi kukoroma.huwa sielewi inakuaje.nmefikia hatua nameza dawa za usingizi coz najua nikishtuka tu usingizin nikakuta anakoroma ndo silali tena.
Nashindwa kusema nihame room.akiwa hajalala hamna shida tunaenjoy sana tu pamoja.tunafanya yote kwa furaha kama wapenzi wanavyotakiwa kufanya.lakini shida tu inakuja usiku tukilala.
Je, kuna dawa yoyote ya kumsaidia mtu wa namna hii? Kwa mwili yes ana mapaja na makalio makubwa.juu si mnene sana.umbo namba nane.shida inaweza kuwa nini ili pia nimsaidie.maana kiukweli mimi napata shida sijui yeye anajisikiaje.
[emoji23] [emoji23]Kero ya kukoroma ni nafuu kuliko ya kukosa papuchi...!
kwa ushauri hapo mkuu mue mnazagamuana ucku kucha asipate muda wa kulala akakoromaKuna tatizo linanisumbua ni week ya tatu sasa. Nmesafiri kikazi nipo sehemu ya mbali kidogo. Nlifanikiwa kusafiri na secretary ambaye tuna mahusiano ya kimapenzi.
Huku tuliko tunatakiwa kukaa miezi 4 kuna training inafanyika nje ya nchi.huyu dada tulikubaliana ili kubana matumizi tu share room hapa hotel but pia kupeana kampani.
Yeye hajaolewa so yupo huru.dada ni mzuri kwa sura na umbo pia.ni mwanamke ambaye wanaume 10 kati yao 7-9 watasema ni mzuri sana.
TATIZO NI NINI?
huyu dada anakoroma sana usiku. Siyo kidogo.anakoroma kwa sauti mbalimbali ambazo umewahi sikia za mtu kukoroma.
Hapo ndo napata changamoto.binafsi mtu akikoroma nashindwa kabisa kulala.nakumbuka chuo nliwahi kuhama room baada ya kupangiwa room na jamaa anayekoroma.huwa siwezi kulala na ninakereka sana.
Huyu dada ukimwamsha dk moja akigeuka anakoroma tena.sometimes unamwita anaitika akimaliza tu anarudi kukoroma.huwa sielewi inakuaje.nmefikia hatua nameza dawa za usingizi coz najua nikishtuka tu usingizin nikakuta anakoroma ndo silali tena.
Nashindwa kusema nihame room.akiwa hajalala hamna shida tunaenjoy sana tu pamoja.tunafanya yote kwa furaha kama wapenzi wanavyotakiwa kufanya.lakini shida tu inakuja usiku tukilala.
Je, kuna dawa yoyote ya kumsaidia mtu wa namna hii? Kwa mwili yes ana mapaja na makalio makubwa.juu si mnene sana.umbo namba nane.shida inaweza kuwa nini ili pia nimsaidie.maana kiukweli mimi napata shida sijui yeye anajisikiaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniih khaaaahhutomsikia akikoroma ashushe video kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee kiboko lolNimependa wasifu wake hapo chini,
Matako makubwa na mapaja manene[emoji23][emoji23]hongera, ila mkoromo sidhani Kama unatiba....Kuna watu wanakoroma Kama scania inapanda mlima.
Hujawahi shuhudia? Wapo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee kiboko lol