Nahitaji msaada kama umewahi kutana na changamoto hii

Nahitaji msaada kama umewahi kutana na changamoto hii

Ukikua utaelewa kwa sasa subiria tu watu wazima wachangie.wewe jiandae na kesho shule.

Graduate Anaomba Ushauri Haa 😁😂
Hawa Ndiyo Rais Anawajibu Majukwaani Pumb*v*
Mmekwenda Kuzini Halafu Unataka Dawa Ya Kuzuia Kukoroma. Vitu Vidogo
 
Hiyo safari mngechukua two rooms, kwanini uteseke na hela ya ofisi mnayo.

Uache na usherati kaaah
 
Kukoroma ni hali ya kawaida ambayo inaweza kurekebika bila shida na kuisha.

Unaonyesha kukerekwa sana na hiyo tabia, naelewa sababu ni kero iwa watu wengi, hata kwangu.

So nitashare nawe link za videos ambazo zitakuguide katika kusolve hili tatizo na kumsaidia mpenzi wako.

Msisitizo: kila mtu anachangamoto zake katika kuishi pamoja na mwenza. So usichanganyikiwe wala kuhisi upo pekee yako.

Hapa tukiwa tunajadili hivi yupo rafiki yangu ana mwanamke anatoa harufu ile kali ukeni na anazile fungus zisizo poma..... na kila anapojaribu kuzungumza nae juu ya hilo tatizo mwanamke anakuwa mkali badala ya kuonyesha ushirikiano.... Wana mwezi wa tatu sasa hawajafanya chochote.
 
Mmeenda nchi gani na korona hii? Au Burundi [emoji144][emoji12][emoji44][emoji16]
 
Hapa jirani ninapoishi Kuna jamaa anakoroma kiasi kwamba Jamaa Kuna kunguru ametua juu ya paa lake anaruka fasta kwajinsi paa linavotingishika.
 
Ukipenda boga upende na ua lake. Yaan quid pro quo.
 
Kuna watu wanadai eti Chelsea kaonewa wewe unaonaje
waache waendelee tu na hayo madai, huwezi onewa na timu iliyopitia mengi mpaka kumfunga Man city na kukufunga Chelsea badao anadai kaonewa...watataja tu refa ila mwisho wa siku hawakuwa wanatoboaaaa ...waache visingizio
 
Back
Top Bottom