Nahitaji msaada kama umewahi kutana na changamoto hii

Sasa utafutaji wa Tiba ya ku korona na swala la mwanamke kuwa mzuri,Mwenye mapaja na makalio makubwa vinahusianaje au una jaribu ku justify nn?hzo ni internal issue ambazo any reasonable person hatokupatia majibu sahihi zaid ya kejeli.The story should have been natafuta dawa ya korona-simple,plain and clear! Otherwise it’s just a fabricated story.
 
Mwambie awe anavaa elment baada ya kula mzigo zen utaleta mrejesho
 
Kukoroma ni hali ya kawaida ambayo inaweza kurekebika bila shida na kuisha.

Unaonyesha kukerekwa sana na hiyo tabia, naelewa sababu ni kero iwa watu wengi, hata kwangu.

So nitashare nawe link za videos ambazo zitakuguide katika kusolve hili tatizo na kumsaidia mpenzi wako.

Msisitizo: kila mtu anachangamoto zake katika kuishi pamoja na mwenza. So usichanganyikiwe wala kuhisi upo pekee yako.

Hapa tukiwa tunajadili hivi yupo rafiki yangu ana mwanamke anatoa harufu ile kali ukeni na anazile fungus zisizo poma..... na kila anapojaribu kuzungumza nae juu ya hilo tatizo mwanamke anakuwa mkali badala ya kuonyesha ushirikiano.... Wana mwezi wa tatu sasa hawajafanya chochote.
Duh!
 
Sasa utafutaji wa Tiba ya ku korona na swala la mwanamke kuwa mzuri,Mwenye mapaja na makalio makubwa vinahusianaje au una jaribu ku justify nn?hzo ni internal issue ambazo any reasonable person hatokupatia majibu sahihi zaid ya kejeli.The story should have been natafuta dawa ya korona-simple,plain and clear! Otherwise it’s just a fabricated story.
Ni kweli Mkuu, jamaa amemchambuaaa kwanza huyo Mwanamke then ndio anaeleza tatizo lake

Si bure akichotaka tufahamu hapa ni :-

-Sifa za huyo Mwanamke

-Ama anatania tu so anatupima

-Ama hii ni Chai tu.

Ding.....dong,
 
Kukoroma ni hali ya kawaida ambayo inaweza kurekebika bila shida na kuisha.

Unaonyesha kukerekwa sana na hiyo tabia, naelewa sababu ni kero iwa watu wengi, hata kwangu.

So nitashare nawe link za videos ambazo zitakuguide katika kusolve hili tatizo na kumsaidia mpenzi wako.

Msisitizo: kila mtu anachangamoto zake katika kuishi pamoja na mwenza. So usichanganyikiwe wala kuhisi upo pekee yako.

Hapa tukiwa tunajadili hivi yupo rafiki yangu ana mwanamke anatoa harufu ile kali ukeni na anazile fungus zisizo poma..... na kila anapojaribu kuzungumza nae juu ya hilo tatizo mwanamke anakuwa mkali badala ya kuonyesha ushirikiano.... Wana mwezi wa tatu sasa hawajafanya chochote.
Nazihitaji hizo video na ushauri
 
Back
Top Bottom