Pindi mwanamke anapokunywa sumu kuhusu mapenzi alaf akaandika ujumbe wenye jina la MTU flani hivi hyo MTU alieandkwa jina anahusika vipi ??? Na hukumu yake huwa Ni VP ???
Si mtaalamu wa sheria lakini hapo naona itaangaliwa mtu katajwa kwa ishu gani kama ni mapenzi siion kosa la alie tajwa .
Ila kama alietajwa alimbaka muhusik au kufanya makosa mengine ya kisheria naon kuna jambo laeza fanyika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.