Nahitaji msaada:HDD yangu inadai ku-format wakati wa kuifungua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji msaada:HDD yangu inadai ku-format wakati wa kuifungua.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mimtamu, Mar 10, 2012.

 1. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni njia gani naweza kutumia kufungua bila kuformat? Itakuwa vyema kama mta ni PM please
   
 2. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu hakuna mwenye maujuzi katika hili? msaada please..
   
 3. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Bado ujaeleweka tatizo ni nini hasa,hebu fafanua hapo kuifungua kivipi?..kwani hiyo msg unayoipata inaonyesha huenda hd yako ina bad sector (imecorupt) hivyo formating ni njia mojawapo ya kuremove hizo bad sector kwenye hd,hivyo labda utuambie kama unataka kubackup data zako kabla ya kurepair hiyo hd,kama ni ndivyo unaweza kutafuta Hirren boot disk latest version yoyote ina window mini xp ambayo inarun kwenye cd then itakuwezesha kuona drives zako zote kama corrupted hd itakuwa bado inauwezo wa read & write then unaweza tumia fursa hiyo kufanya backup ya data zako.kisha ukarepair hd yako.Nimejaribu kukujibu kama nilivyokuelewa kama utafafanua zaidi unaweza kupata msaada mkubwa zaidi...kila la heri
   
 4. dlink

  dlink Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  download setup known icare data recovery setup then install it afu register kwa keyz hizi:
  CQBPDUO9BA7BH4IJFUVXDC6F24JJ68DX.

  100% works and i've saved much!!

  Comment plz if works 2u2
   
 5. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hi, unatumia operating system gani? (windows 2000, windows xp, etc.). Tatizo hili mara nyingi huwa linatokea kama umeweka hard disk kubwa ambayo operating system haiwezi kuisoma. hivyo kama unatumia windows 2000 inabidi u-install service pack 4 (windows 2000 sp4), au kama unatumia windows xp inabidi u-install windows xp service pack 3 (windows xp sp3).
  Ukimaliza ku-install sp, restart computer yako, na unaweza kuwa umemaliza tatizo.
  Kama hatua hizi hazitamaliza tatizo, labda utoe maelezo zaidi.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Andika ujumbe kama unavyotokea au unaweza ku google. So hard kupata ushauri unaofa bila kujua.kueleza full story ilikuwaje mpaka ikawa hivyo . Inawezekana

  Boot sector imecorrupt
  HDD imekufa physical damage-
  HDD ina logical demage - Inaweza kujaribu kuwa repaired kwa kuifanya slave kwenye pc nyingine au kwa kurun tool zaku repair kama chdsk
  etc , etc


  Na unaposema HDD do umean Main HDD yenye OS au external HDD? funguka zaidi.
   
Loading...