Nahitaji mpishi haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji mpishi haraka

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ambassador, Aug 2, 2011.

 1. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza kunirushia hapa au kunitumia PM. Natanguliza shukurani.
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  tangaza mshahara nikupe contact
   
 3. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mshahara ni makubaliano kuendana na ujuzi na uzoefu.
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Nina sifa zote ..Nimekutumia PM
   
Loading...