kindege534
Member
- Jul 28, 2014
- 97
- 24
Asante ndugu Majimoto, nitakwenda huko. Unafahamu jina la hicho kiwanda?
Vipo vingi vya wachina wahindi... majina yao sivijui, ukipanda daladala zinazoenda Amani milimani mwambie kondakita akushushe kwenye viwanda vya mbao, ingia ndani ufanye biashara... ukifanikiwa usisahamu mirinda baridi....
Ndugu Majimoto nimekwenda kijiji cha Amani kama ulivyoniagizia. Ila amani ipo Muheza na sio handeni. Na ni kweli kuna viwanda vingi vya teak. Ila vimeachana umbali wa kilomita kama tatu nne. So unatembea kutoka kiwanda kimoja hadi kingine.
Nimejifunza mengi huko: nimesikitishwa na familia maskini za wakazi wa amani, hawana nyumba bora wakati kwny kijiji chao kuna estate ya Mitiki na viwanda.
Nimefanikiwa pia kukutana na wafanyabiashara ya teak, ila kule viwanda vingi ni branch za viwanda vya huku dar. Nipo kwny mchakato
Vipi ile mirinda baridi alikutumia Mpwa tugawane japo kizibo tu? hii project ni bab kubwa, inalipa sana sana hio miti ni ghali sana nashangaa kwanini Mpwa wangu hadi atafute soko wakati "naskia" ukiwa nayo hio wanakutafuta wenyewe.Samahani kwa kujichanganya, ni kweli Amani ipo Muheza, pole kwa usumbufu.
Vipi ile mirinda baridi alikutumia Mpwa tugawane japo kizibo tu? hii project ni bab kubwa, inalipa sana sana hio miti ni ghali sana nashangaa kwanini Mpwa wangu hadi atafute soko wakati "naskia" ukiwa nayo hio wanakutafuta wenyewe.
Wahindi wa kule wamenipa ahadi hewa tu. Mkuu Majimoto mpaka leo hawajachukua. Sijui cash imekua ndefu sana au nin! Kama unafahamu pengine ni PM nitakwenda. Soda yako ya nguvu na ya maana iko palepale ntakukatia
Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imetoa idhini kwa waombaji wafuatao kuweza kupata mgao wa miti katika baadhi ya mashamba ambayo yanamilikiwa na wakala kwa mwaka 2014/2015
Orodha ifuatayo ni wafanyabiashara walioruhusiwa kuvuna miti kwenye msitu wa Shume, jaribu kuwasiliana nao Mkuu
http://www.tfs.go.tz/uploads/SHUME.pdf
Wahindi wa kule wamenipa ahadi hewa tu. Mkuu Majimoto mpaka leo hawajachukua. Sijui cash imekua ndefu sana au nin! Kama unafahamu pengine ni PM nitakwenda. Soda yako ya nguvu na ya maana iko palepale ntakukatia
Kindege Mimi pia na miti ya Mitiki kama ulifanikiwa kuuza Yako naomba uniunganishe na hao wanunuzi pleaseImekomaa, ina 20years of age, urefu ni zaidi ya futi 20, ina average diameter ya 14cm. Ekari 16.
Shamba lipo korogwe Tanga Tanzania. Nataka mtu atakaenunulia moja kwa moja shambani.
Pia naomba mnishauri pa kuwapata hao wanaohitaji. Shukrani.
Picha hii ni eneo mojawapo la shamba