Nahitaji mkopo wa Tshs 2,500,000/=

Nahitaji mkopo wa Tshs 2,500,000/=

MUST

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
108
Reaction score
76
Habari kwenu wakuu... kama title inavyoeleza mimi ni kijana nimemeliza course ya medicine na sasa nipo kwenye internship program na nina salary ya 1056000/=. Natafuta mkopo wa 2,500,000 nahitaji kununua kiwanja sehemu.

Kiwanja kiko sehemu ambapo nina mpango wa kuwekeza kwenye masuala ya afya. Nahitaji mkopo huo ndani ya wiki hii.. nina dhamana ya gari collora old model na nahitaji sana huo mkopo kwa riba inayostahimilika.

Nimeshindwa kwenda bank kutokana na process kuwa ndefu najitaji msaada kwenu wadau. Natanguliza shukran kwa maawazo na msaada. Namba zangu ni 0654000253
 
Niuzie hiyo gari kabisa tusidaiane

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Unaogopa kwenda bank sabb sio mlolongo meref bali unaogopa usipotimiza mashart yao watakubebea kila kitu,kweli umejidhatiti au geresha tu?
 
Naweza kuwa tofauti na wengine.
Acha haraka na papara ya maisha.
Kwa mshahara wako ni mkubwa na ni kwamba miezi mitatu tu pesa unaipata of the same amount kama unania.
Wewe umemaliza kozi na unajua kwamba una plan fulani huko mbele,kununua gari la kutembelea la kuuzia sura la nini.
Lazima ukitaka kufanya kitu kwa maisha haya lazima ujitoe kweli,na hata sector unayowekeza sio nyepesi kama unavyofikiria.
Jipange kwa unachokipata,angalau ungeniambia mkopo wa kuanzia 10m ningeona kweli kuna uelekeo wa uwekezaji but sio utani huo wa 2.5m.
Na kwanini ukimbie Bank kukopa?Dunia hii uwekezaji wowote huwezi kukwepa Bank.Hakuna mtu atakae kupa pesa kirahisi bila masharti magum.Na wapo waliokopa kwa watu binafsi leo wanalia.
 
isijekuwa unauza corolla old model indirect tu

Mkuu shauri mbaya rejea maandiko yangu....sihitaji kuuza gari yangu...nahitaji mkopo na nipo aware ya dhamana kama sharti la mkopo
 
Niuzie hiyo gari kabisa tusidaiane

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Gari siuzi mkuu...lina nisaidia sana kweye shughuli zangu. Tx for advice
 
Unaogopa kwenda bank sabb sio mlolongo meref bali unaogopa usipotimiza mashart yao watakubebea kila kitu,kweli umejidhatiti au geresha tu?

kujidhatiti kwenye nini...nahiyaji pesa kununua kiwanja...infact nimeona tangazo la mauzo ya hiyo sehemu jana tu na nilijaribu kufuatilia siku za nyuma sikupata eneo. Bank itachukua muda kunikopesha na waamlolongo mrefu...nahitaji pesa ASAP
 
Naweza kuwa tofauti na wengine.
Acha haraka na papara ya maisha.
Kwa mshahara wako ni mkubwa na ni kwamba miezi mitatu tu pesa unaipata of the same amount kama unania.
Wewe umemaliza kozi na unajua kwamba una plan fulani huko mbele,kununua gari la kutembelea la kuuzia sura la nini.
Lazima ukitaka kufanya kitu kwa maisha haya lazima ujitoe kweli,na hata sector unayowekeza sio nyepesi kama unavyofikiria.
Jipange kwa unachokipata,angalau ungeniambia mkopo wa kuanzia 10m ningeona kweli kuna uelekeo wa uwekezaji but sio utani huo wa 2.5m.
Na kwanini ukimbie Bank kukopa?Dunia hii uwekezaji wowote huwezi kukwepa Bank.Hakuna mtu atakae kupa pesa kirahisi bila masharti magum.Na wapo waliokopa kwa watu binafsi leo wanalia.
a
Nimekupata znz spice....una hoja tatu nizijibu...moja kuwekeza sio papara ya maisha mkuu...akili ya kiwekeze haiji umri fulani tu, wakati wowote ukipata wazo unaweza kuanza kiwekeza....mbili nilinunua gari sio kuuzia sura, nilinunua kwa savinha zangu ili iwe rahisi kwenda kazini (I was a part time tutor wakati nasoma)...ndo maana nimesisitiza siuzi gari, niko makini na maarti ya atakayenikopesa....tatu secta afya naifahamu vilivyo na sijakurupuka...pesa ninayohitaji inafaa mazingira ya sasa sijitaji kusema kiasi kikubwa kuonekana nipo serious...nitakwenda saccos baadae kukopa...nimfanya arrangements hzo na tayari ni mwanachama....kwa sasa nahitaji pesa ya haraka
 
Nimekuelewa mkuu
 
Habari kwenu wakuu...kama title inavyoeleza mimi ni kijana nimemeliza course ya medicine na sasa nipo kwenye internship program na nina salary ya 1056000/=. Natafuta mkopo wa 2,500,000 nahitaji kununua kiwanja sehemu. Kiwanja kiko sehemu ambapo nina mpango wa kuwekeza kwenye masuala ya afya. Nahitaji mkopo huo ndani ya wiki hii..nina dhamana ya gari collora old model na nahitaji sana huo mkopo kwa riba inayostahimilika. Nimeshindwa kwenda bank kutokana na process kuwa ndefu najitaji msaada kwenu wadau. Natanguliza shukran kwa maawazo na msaada. Namba zangu ni 0654000253
Tafadhal unaweza kuweka picha ya hiyo gar?
 
Naweza kuwa tofauti na wengine.
Acha haraka na papara ya maisha.
Kwa mshahara wako ni mkubwa na ni kwamba miezi mitatu tu pesa unaipata of the same amount kama unania.
Wewe umemaliza kozi na unajua kwamba una plan fulani huko mbele,kununua gari la kutembelea la kuuzia sura la nini.
Lazima ukitaka kufanya kitu kwa maisha haya lazima ujitoe kweli,na hata sector unayowekeza sio nyepesi kama unavyofikiria.
Jipange kwa unachokipata,angalau ungeniambia mkopo wa kuanzia 10m ningeona kweli kuna uelekeo wa uwekezaji but sio utani huo wa 2.5m.
Na kwanini ukimbie Bank kukopa?Dunia hii uwekezaji wowote huwezi kukwepa Bank.Hakuna mtu atakae kupa pesa kirahisi bila masharti magum.Na wapo waliokopa kwa watu binafsi leo wanalia.

ushauri mzuri saana utendee haki
big up mawazo mazuri saaana
 
Tafadhal unaweza kuweka picha ya hiyo gar?

Minakopesha kwa 30% kwenye kila milioni ,bond ni gari na izidi thamani ya pesa ninayokopesha, kama wewe unataka milioni 2.5 hivyo utalipa 3.25 milion ,ndani ya mwezi 1 ukichelewa 30% inaendelea kwenye mwezi unaofuata, ndani ya miezi 3 hujalipa nauza gari na ndani ya mkataba unajicomit ukishindwa kulipa ndani ya miezi mitatu niuze gari deal ? halafu weka picha ya gari hapa isijekua gari yenyewe laplap
 
Thx wote waliochangia hii mada. Mdau minuz thx kwa ur offer but I cant take it. Nasubiri mkopo unaosthimilika
 
Minakopesha kwa 30% kwenye kila milioni ,bond ni gari na izidi thamani ya pesa ninayokopesha, kama wewe unataka milioni 2.5 hivyo utalipa 3.25 milion ,ndani ya mwezi 1 ukichelewa 30% inaendelea kwenye mwezi unaofuata, ndani ya miezi 3 hujalipa nauza gari na ndani ya mkataba unajicomit ukishindwa kulipa ndani ya miezi mitatu niuze gari deal ? halafu weka picha ya gari hapa isijekua gari yenyewe laplap

Me pia nina gari natafuta mkopo wa mil 3, vp nitakupataje tufanye biashara
 
Back
Top Bottom