Nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida

Sep 8, 2018
84
67
Wakuu habari, nahitaji mkopo wa million 3 niweze kutatua shida iliyonikaba sasa, narudisha baada ya miezi mitatu Kwa riba nafuu nitakayoambiwa, dhamana ni kiwanja cha sqm 1000 kipo Kigamboni mwasonga. Nitashukuru kwa kila jibu nitakalopata

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom