Nahitaji mkopo nina title deed ya 33 yrs.

funny

Senior Member
Jun 30, 2012
102
23
Wadau naomba mnishauri ni benki gani inaweza kunipatia mkopo wa kuendelezea biashara yangu. Nina biashara ndogo ya stationery nataka kuiboresha.
Naombeni msaada wenu.
 
Title deed pekee haikufanyi wewe upate mkopo.Kigezo kikuu na muhimu ni uwezo wako wa kulipa deni na riba. Sasa umesema title deed ina miaka 33 je biashara yako ina miaka mingapi? je mapato yako kwa mwezi kiasi gani? je matumizi yako kiasi gani? je unahitaji kiasi gani? Hiyo nyumba au kiwanja chenye hiyo title kimeshafanyiwa valuation ? je thamani kiasi gani?
 
Ngoja nifanyie kazi maswali yako kwanza . Thanks a lot bro.
 
Back
Top Bottom