Ndugu wana jamii; nahitaji mbwa wadogo wawili au watatu kwa ajili ya kufuga nyumbani.
I am very serious, nikipata german shepherd nitafurahi zaidi.
I am very serious,
kwa yeyote mwenye info kamili kuhusu kuwapata naomba anijulishe
mimi nipo dar es salaam
I am very serious, nikipata german shepherd nitafurahi zaidi.
I am very serious,
kwa yeyote mwenye info kamili kuhusu kuwapata naomba anijulishe
mimi nipo dar es salaam