Nahitaji mbegu ya mpunga iitwayo mwendo kasi

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,147
Reaction score
4,070
Wakuu kwema? Naomba nielekezwe pakupata mbegu ya mpunga ifahamikayo Kama mwendokasi inavunwa ndani ya muda wa siku 75,,aliyeniambia yeye aliiona pwani,kwasasa tupo nae Kanda maalumu Mara.
 
Nadhani ukienda pale Mswiswi Mbarali, Mbeya unapata. Nilikuwa na wanachama wa chama cha ushirika wakawa wananiambia wanazalisha mbegu ya mpunga.
 
Back
Top Bottom