Nahitaji Mbegu ya mbuzi wanaozaa mapacha

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,954
Reaction score
2,935
Naulizia wapi naweza kupata mbegu ya mbuzi wanaozaa mapacha. Taarifa nilizo nazo ni kwamba siyo wa kienyeji ila ni wa kisasa au chotara, mimi napendelea sana chotara kama wanapatikana.
 
Ni kweli wapo na wanazaa mapacha Wakali mwingine hadi watoto 3, ni mbuzi wa maziwa lakini, wanaitwa Toggenburg, wana asili ya Kati ya Sweden au Uswis au Denmark,sikumbuki vizuri asli yao.

Kama upo Pwani, wanapatikana Morogoro, Morogoro rural, kijiji kimoja kinaitwa MGETA. wana cross nzuri za hadi 75% local & exotic. Karibu sana.
 
Naulizia wapi naweza kupata mbegu ya mbuzi wanaozaa mapacha. Taarifa nilizo nazo ni kwamba siyo wa kienyeji ila ni wa kisasa au chotara, mimi napendelea sana chotara kama wanapatikana.
Ukienda mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo, utapata...!! Kanda ya ziwa wanapatikana Mabuki, Misungwi Mwanza. Au Kwimba, Mwanza Kijiji cha Malya.
 
mkuu uko wapi kuna mzee jirani yangu anauza ambao ni chotara
 
Back
Top Bottom