nahitaji mashine ya kutotoresha mayai na chakula cha kuku

Kuna machine moja ya kutotolesha nilinunua Chang'ombe VETA mwaka jana mpaka leo inafanya kazi vizuri sijaifanya repair yoyote na nbado safi. Uwezo wake mayai 240 (Trays 8) Nilininua tshs 1,000,000. Ukichukua gahrama zngine kama Invertor pami=oja na dry batery na stabilizer ghrama zake zilifika kama Ts 2,000,000. Nenda kajaribu VETA chang'ombe
 
Maji ndo yanatengeneza umeme bhana kwanini washndwe kuyawezesha.
Kwahiyo utafunga mtambo wa kuzalisha umeme kwanza kwenye hiyo incubator halafu ndio uweke kitotozi juu au itakuwaje hapo?
Unaonaje tukienda kuyaweka mayai niagara falls tukapata vifaranga mkuu?
 
umeme ukikata, mradi usizidi masaa manne hamna shida. Ukizidi hapo mayai yataharibika kwa hiyo inabidi kuwa na jenereta. Mimi ningeshauri usikaribie incubator za china kabisa. Hazidumu na percent ya kutotoa ipo chini. Kama hiyo kwenye picha hapo juu ni brinsea ni sawa. Ata incubator local itatotoa ila percent ya mayai kuharibika itakuwa juu na matatizo madogo madogo kila leo yatakuwa mengi. Hakikisha unapewa guarantee ya maintenace na repair kama ni local. Usikubali kutoa hela kutengenezewa mashine, nunua ready made. Condition za kwenye incubator zinatakiwa kufanana na kuku anavyokuwa anatotoa. Hiyo lazima kuwe na consistent automatic egg turning,moisture, na temperature isiyo badilika ovyo. Hakikisha incubator unayo nunua ina incubator na hatcher kwa pamoja la sivyo utanunua mashine mbili na itakuwa ghali kwako bila sababu ya msingi. Wazo la kununua incubator ni nzuri sana. Huko tunaelekea kuku watakao fugwa watakuwa zaidi hybrid kienyeji ambao wakitaga mayai wanayaacha bila kulalia lakini wanataga mengi karibia sawa na wa grade. Kwa hiyo incubator itakuwa deal sana. Kitakacho kuangusha ni kama ukinunua mashine itakayo kusumbua.Utapata kero, presha na kisukari kama discount kwa hiyo usikimbilie, slow and sure wins the race na mwenda pole ufika.
 
Kuna machine moja ya kutotolesha nilinunua Chang'ombe VETA mwaka jana mpaka leo inafanya kazi vizuri sijaifanya repair yoyote na nbado safi. Uwezo wake mayai 240 (Trays 8) Nilininua tshs 1,000,000. Ukichukua gahrama zngine kama Invertor pami=oja na dry batery na stabilizer ghrama zake zilifika kama Ts 2,000,000. Nenda kajaribu VETA chang'ombe
Asante kwa taarifa muhimu mkuu. Ila pia zipo za ukubwa tofauti tofauti hata mayai 50, 100 etc. Kwa maisha ya leo na vishimba vyetu ni nzuri sana kwa income ndogondogo. Inalipa maana kuku wa half cast kwa sasa mtetea ni 15,000 na jogoo ni hadi 30,000.
 
Incubator kama umeme ukikatika sio tatizo kwani joto aliishi hapo hapo umeme ukikatika,mimi wakati nnaishi kijijini nilikua nnaonaga kuku wanaolalia mayai wanatokaga kwenda kupiga story na mashost zao au kwenda kutafuta msosi wakiyaacha mayai kwa zaidi ya lisaa lakini mwisho wa siku vifaranga vinatotolewa!Je akuna mwana JF aliyewai ona haya?
 
kuku wanatotoa wenyewe kwa kutumia technology ya sangoma
 
umeme ukikata, mradi usizidi masaa manne hamna shida. Ukizidi hapo mayai yataharibika kwa hiyo inabidi kuwa na jenereta. Mimi ningeshauri usikaribie incubator za china kabisa. Hazidumu na percent ya kutotoa ipo chini. Kama hiyo kwenye picha hapo juu ni brinsea ni sawa. Ata incubator local itatotoa ila percent ya mayai kuharibika itakuwa juu na matatizo madogo madogo kila leo yatakuwa mengi. Hakikisha unapewa guarantee ya maintenace na repair kama ni local. Usikubali kutoa hela kutengenezewa mashine, nunua ready made. Condition za kwenye incubator zinatakiwa kufanana na kuku anavyokuwa anatotoa. Hiyo lazima kuwe na consistent automatic egg turning,moisture, na temperature isiyo badilika ovyo. Hakikisha incubator unayo nunua ina incubator na hatcher kwa pamoja la sivyo utanunua mashine mbili na itakuwa ghali kwako bila sababu ya msingi. Wazo la kununua incubator ni nzuri sana. Huko tunaelekea kuku watakao fugwa watakuwa zaidi hybrid kienyeji ambao wakitaga mayai wanayaacha bila kulalia lakini wanataga mengi karibia sawa na wa grade. Kwa hiyo incubator itakuwa deal sana. Kitakacho kuangusha ni kama ukinunua mashine itakayo kusumbua.Utapata kero, presha na kisukari kama discount kwa hiyo usikimbilie, slow and sure wins the race na mwenda pole ufika.

Mkuu kwani ni incubator zote kutoka China ni Mbaya? au wewe ulinunua moja basi ukaamini zote hazifai
 
Wadau wa JF naomba msaada wenu, nahitaji kujua nitapata wapi mashine ya kutotoresha mayai ya kuku na mashine ya kutengeneza chakula cha kuku. nitashuru zaidi kama nitapewa na bei zake.

nione kwa namba hii 0718656566
 
Mkuu kuna Kampuni Moja ya Kenya wanazo mpya kutoka Ujerumani, China na Uturuki, ni Imala sana na wanazo saize tofauti tofauti na zina anzia laki 4 ya bongo mpaka Milini 2 na nusu
 
Kuna machine moja ya kutotolesha nilinunua Chang'ombe VETA mwaka jana mpaka leo inafanya kazi vizuri sijaifanya repair yoyote na nbado safi. Uwezo wake mayai 240 (Trays 8) Nilininua tshs 1,000,000. Ukichukua gahrama zngine kama Invertor pami=oja na dry batery na stabilizer ghrama zake zilifika kama Ts 2,000,000. Nenda kajaribu VETA chang'ombe

Asante saana mkuu.
 
Mkuu kuna Kampuni Moja ya Kenya wanazo mpya kutoka Ujerumani, China na Uturuki, ni Imala sana na wanazo saize tofauti tofauti na zina anzia laki 4 ya bongo mpaka Milini 2 na nusu

Unaweza kunipatia mawasiliano yao tafadhari? Asante sana.
 
ECOCHICKS KENYA LIMITED INCUBATORS

Automatic Eggs Incubator Suppliers and Manufacturers

Our Products

Check out the different types of Poultry Egg Incubators we sell. Click on one of the entries for more information.

48 EGGS CAPACITY INCUBATOR
Description: 48Eggs Capacity Incubator Available in Nairobi Kenya The model, Eco 48eggs capacity incubator is a fully automatic incubator used widely within Kenya and allover East is Africa. This type...More>>
Price: KSH 25000

1232 EGGS CAPACITY INCUBATOR
1232 Eggs Capacity Incubator A multipurpose poultry egg incubator that can be used to hatch all verity of poultry or birds eggs such as Quills,Peacock,Turkey,Pheasant,Chicken ,Duck, Geese and many...More>>
Price: KSHS 150,000

1056 EGGS CAPACITY INCUBATOR
880 Eggs Capacity Incubator A multipurpose poultry egg incubator that can be used to hatch all verity of poultry or birds eggs such as Quills,Peacock,Turkey,Pheasant,Chicken ,Duck, Geese and many...More>>
Price: KSHS 130,000

880 EGGS CAPACITY INCUBATOR

Price: KSHS 120,000

704 EGGS CAPACITY INCUBATOR
880 Eggs Capacity Incubator A multipurpose poultry egg incubator that can be used to hatch all verity of poultry or birds eggs such as Quills,Peacock,Turkey,Pheasant,Chicken ,Duck, Geese and many...More>>
Price: KSHS 110,000

528 EGGS CAPACITY INCUBATOR
880 Eggs Capacity Incubator A multipurpose poultry egg incubator that can be used to hatch all verity of poultry or birds eggs such as Quills,Peacock,Turkey,Pheasant,Chicken ,Duck, Geese and many...More>>
Price: KSHS 100,000

440 EGGS CAPACITY INCUBATOR
440 Eggs Capacity Incubator Available in Nairobi Kenya A multipurpose poultry egg incubator that can be used to hatch all verity of poultry or birds eggs such...More>>
Price: KSHS 90,000

352 EGGS CAPACITY INCUBATOR
352 Eggs Capacity Incubator Available in Nairobi Kenya A multipurpose poultry egg incubator that can be used to hatch all verity of poultry or birds eggs such...More>>
Price: KSHS 80,000

176 EGGS CAPACITY INCUBATOR
880 Eggs Capacity Incubator A multipurpose poultry egg incubator that can be used to hatch all verity of poultry or birds eggs such as Quills,Peacock,Turkey,Pheasant,Chicken ,Duck, Geese and many...More>>
Price: KSHS 60,000

60 EGGS CAPACITY POULTRY INCUBATOR
60Eggs Capacity Incubator Eco 60eggs capacity incubator is specially designed for rural poultry cultivation in the developing countries to help increase the success rate of poultry incubation. This...More>>
Price: KSHS 15000

48 EGGS CAPACITY INCUBATOR
Description: 48Eggs Capacity Incubator Available in Nairobi Kenya The model, Eco 48eggs capacity incubator is a fully automatic incubator used widely within Kenya and allover East is Africa. This type...More>>
Price: KSH 25000

Mkuu kwani ni incubator zote kutoka China ni Mbaya? au wewe ulinunua moja basi ukaamini zote hazifai

Mara nyingi ukitaka kununua mashine yeyote chunguza reviews za watu ambao wameshazitumia. Usitake kuwa wewe ndio wakujaribisha ili wengine wapate somo kwako. Naomba jina la incubator moja ya china alafu tuangalie reviews zake humu kwenye mtandao. Kama hutaweza kununua incubator from a reputable firm with after sales service kwa kuwa labda ni ghali zaidi ni bora ununue ya hapa lakini uwe na guarantee ya maintenance na repair, at least hivyo mtabanana hapa hapa na unaweza usaidike kuirudisha kwenye kufanya kazi vizuri. Zingatia incubator ina vitu sensitive ambazo zikikorofisha utapoteza mayai yote au iwe recovery ya vifaranga ni ya chini hadi kupata hasara. Condition za kifaranga zisipo faa ndani ya yai lazima kifaranga kitakuwa na mapungufu. Mfano kuna vifaranga unafuga wiki hadi sita badala ya nne ili kupata broiler ya uzito unaofaa. Kuna kuku wanaanza kutaga lakini kutaga kwake si shwari japokuwa unawalisha vizuri. Kati ka ufugaji wa kuku haina ya mbegu na kwality ya kifaranga ndio vitu vya maana kuliko vyote. Ukiuliza wafugaji wote watakwambia wanapendelea kununua vifaranga kutoka kampuni fulani na za kampuni fulani hazifai kwa sababu mbali mbali zinazo husiana na afya ya vifaranga. Tofauti hizi zote mara nyingi uanzia ndani ya yai na condition za incubation. Ikizidi au kupungua nyuzi za jota nukta, au hali ya maji hewani - humidity- au kugeuzwa kwa yai -egg turning- kifaranga kinadhoofika.. Kwa hiyo kwality ya incubator ni mhimu sana ili kupata vifaranga vizuri.
Kampuni zenye kuwa na incubator nzuri zinatotoa vifaranga zenye afya nzuri. Incubator pia zinatofautiana percentage ya mayai yanayo faulu kutoa kifaranga. unaweza kupata incubator moja inatotoa mfano 78% ya mayai yote wakati nyingine inatotoa 95% ya mayai. Hii tofauti inatokana zaidi na kwality ya incubator unayotumia.
 
Things to consider when selecting an incubator

Source of heat

Obviously the first is to know the source of heat available to you. In the rural areas where electricity is lacking a manual incubator that uses charcoal or kerosene or the solar incubator are the obvious choices depending on your account balance. On the other hand if you have electric power then you can take advantage of the advanced features of the electrical incubators. But of late there has been concern that many farmers are abandoning the electrical incubators due to frequent power outages and the high costs of electricity. A system that combines solar and electric incubator is a good back up where there are electric problems.If you are going to entirely depend on solar power, ensure that the solar panel provides twice the power that can maintain the battery when it is at full charge. Compare models, take your time and seek advice.

Market

If you are in business then the size of the market is important because it will determine the off-take of chicks and therefore the size of the incubator. Select an incubator that you can adequately supply with eggs. It will be useless to have a large incubator when you can only supply a few chicks. If you produce eggs for hatching, the egg production should match a weekly setting plan.

After sale service

When you purchase an incubator, it will come with an instruction manual where every step of the incubation process is explained and therefore guarantee successful hatching. And as part of after sales service, manufacturers provide various kind of support. Some of them guide and provide information or training on the incubation procedure and business advice that you need in order to make your hatchery a success. Look for other available services that they offer to farmers.

Warranty

Look for those that carry at least a two-year warranty on all the spare parts, especially if it is an electrical or solar incubator.
 
Back
Top Bottom