nahitaji mashine ya kutotoresha mayai na chakula cha kuku

ba nso

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
668
225
Wadau wa JF naomba msaada wenu, nahitaji kujua nitapata wapi mashine ya kutotoresha mayai ya kuku na mashine ya kutengeneza chakula cha kuku. nitashuru zaidi kama nitapewa na bei zake.
 
Kuna jamaa mmoja out of Kibaha i think anaunda hizo mashine za kutotolea. unfortunately contact zake nimepoteza ila nilimuona kwenye maonyesho pale Mnazi Mmoja. najua sio habari inayojitosheleza lakini labda kuna mtu mwingine anayejua biashara yake.
 
Ni za mafuta ya Taa au Umeme,mi nataka za kutumia Maji,kama nishati,umeme umepanda,mafuta ya taa yamepanda
 
Ni za mafuta ya Taa au Umeme,mi nataka za kutumia Maji,kama nishati,umeme umepanda,mafuta ya taa yamepanda
Duh, Mkuu inaelekea uko mbali kidogo na sayansi ya machine hizi... Kinachofanyika Ndani ya Incubator ni kuyapa mayai joto kama lile yanayopata chini ya kuku anapolalia...! Sasa Maji pekee kaka, yatatoaje Joto? au ulidhani ukiloweka mayai yatatoka vifaranga? LoL ( im just wondering)....Nishati Ni lazima.. Maji Kama maji hayana uwezo wa kutengeneza joto la kutotoleshea mayai.
 
Maji ndo yanatengeneza umeme bhana kwanini washndwe kuyawezesha.
 
Cabinet-Incubator.jpg

unangapi hiyo mkuu....cheua mshiko nikutumie kitu faster.......kitu AUTOMATIC...kinatumia umeme
 
nashukuu katavi, nina imani hii ndo njia ya uhakika zaidi ya kupata hizi machine ninazotaka. Hii imenisaidia sana.
 
Back
Top Bottom