Nahitaji Marafiki

Nahitaji Marafiki

Namba ya nini mkuu wakati humu jf unachart na watu kibao hadi unachoka, je tukichukua namba yako wote, utaweza jibu sms zetu? Coz tupo zaid ya 5000, utanza kutoa povu
 
hahahaaaaaaa faida ipi inayoongelea hapa switiiiiii...

Faida nayo ongea hapa ni kufarijiana kimwili .Halafu ngoja ni kuulize hivi ni lini tuta anza kufarijiana kimwili.Maana na hamu kweli kupokea hii faraja kutoka kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom