Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
makubwa... hyo kata ya wap tena...
waTZ hatuulizani hivi bana.....kwa nini lakini.......
makubwa... hyo kata ya wap tena...
haya sorry ndugu preta...waTZ hatuulizani hivi bana.....kwa nini lakini.......
iko wap hyo kata arusha au manyara...haya sorry ndugu preta...
iko wap hyo kata arusha au manyara...
ok poa poa....ipo Mbulu mkoa wa Manyara......
mi sijali jinsia....mradi umesema unafanya kazi bank.......automatically umekuwa rafiki yangu.........