Nahitaji marafiki wakuchat nao

Mzee maisha magumu hivi unawaza kuchat chat tuuu, sema tuu unatafta walimbwende hapa maana watoto wa kiume kwa kiume hua hawachat.
Mabinti wenyewe siku hizi hawataki kuchat chat wanataka sms za TIGOpesa, Mpesa na Airtel money basi kama unataka kuchat chat na shangazi zako.
 
 
Ungekuwa ke sawa...ila me saiz unatafuta mtu wa kuchat ...ukikuwa utaacha..ngoja vyuo vipo vinafunguliwa ....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…