Bajeti nina milioni 5 na bati 80 nahitaji kujenga nyumba

Maelezo bado hujayatoa yote, elezea vizuri ni nyumba ya vyumba vingapi, eneo lipoje n.k

NB. MIMI SIO FUNDI ILA MAFUNDI NDIO HUWA WANAHITAJI INFO HIZO KUKUPA MIONGOZO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Tumia tofari za tope kujenga Nyumba.

Utamaliza na kuamua kabisa
 
Maelezo bado hujayatoa yote, elezea vizuri ni nyumba ya vyumba vingapi, eneo lipoje n.k

NB. MIMI SIO FUNDI ILA MAFUNDI NDIO HUWA WANAHITAJI INFO HIZO KUKUPA MIONGOZO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Work real real🙂
 
Kiwanja unacho tayari? Vyumba vingapi?
kama chumba na sebule inatosha ila haitaisha yote bado finishing
 
Mil 5 inatosha materials yote kwa nyumba ya vyumba viwili (kimoja maste), public toilet, sitting room, na kitchen. Kuanzia msingi hadi tofali za juu. Hapo utadaiwa hela ya ufundi.
Uza kiasi cha hizo bati upate hela ya fundi. Utakuja kupaua ukijipanga tena
 
Back
Top Bottom