Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
No kwanza ulifuta nn? We niambie nathibitishaje, nimpe jibuOky sawa Tansy atakuja kuniokoa
No kwanza ulifuta nn? We niambie nathibitishaje, nimpe jibuOky sawa Tansy atakuja kuniokoa
Unaweza kuunda haina tatizoHivi JF hakuna ma group Kama WhatsApp![]()
Nina ushamba mwingi Ndo newcomer badoUnaweza kuunda haina tatizo



Rafiki habari..nyota ili anza kukuangazia tangu jana usikwepe bhana😅😅😅Dah nathibitishaje sasa kwa mfano
Hahahaha, habari nzuri ,Rafiki ila sio kweli usemayoRafiki habari..nyote ili anza kukuangazia tangu jana usikwepe bhana![]()
Oooh sawa ,hilo tu nalifikishaMwambie mimi sio mkaka ni mdada
Mi ndo na kuchana sasa rafiki..90% niaminiHahahaha, habari nzuri ,Rafiki ila sio kweli usemayo
Hahahaha, ahsante kwa kunishtua ,ila hii ni chit chat RafikiMi ndo na kuchana sasa rafiki..90% niamini
Haijalishi rafiki...usiniangushe 🤣🤣🤣Hahahaha, ahsante kwa kunishtua ,ila hii ni chit chat Rafiki
Hahahaha anazingua
Hahahaha, duh, nazingua nn tena
Hahahaha, Rafiki unataka kuniingiza chaka eehHaijalishi rafiki...usiniangushe![]()
Hahahaha, unaniangusha Mkuu, ilitakiwa uende hapo alipo lala umfunike shukanakusubiri
Hahahaha, mbinu gani ? Rafiki we unachombeza tu, hayo mambo tuwaachie wenyewe