Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Wakomeshe kwa picha ❤️ WanguEti wananiita me dume![]()
Wakomeshe kwa picha ❤️ WanguEti wananiita me dume![]()
Eti wananiita me dume![]()
Hahahaha tena ile nzuri nzuri, wakome ,hawajui kuwa wewe mcute eehWakomeshe kwa pichaWangu
Kashaweka picha selfika labda arekodi video then aseme mimi ndo linah baby ndo watu wataamini aisee 😂Weka picha full uwathibitishie
Naona hawamjui linahbaby aiseHahahaha tena ile nzuri nzuri, wakome ,hawajui kuwa wewe mcute eeh
Yes dear potezea tuHahaaa acha tu wawaze hvo hvo![]()
Inaonesha u mzuri sana kwenye nasaha...Jamani kwani hawajui kuwa wewe ni binti tena mzuri mzuri ?
How comes wansema hivyo dear anyway potezea wewe si unajijua wewe ni nani ?
Nitumie mm ,ili niwathibitishie wanazengoAisee ata kaa itokee kumfurahisha mtu mmoja hyo picha si bora nimtumie.... Uko pm![]()
Wazo zuri hili afanyie kaziKashaweka picha selfika labda arekodi video then aseme mimi ndo linah baby ndo watu wataamini aisee![]()
We waaache atumie moja matataNaona hawamjui linahbaby aise
Ewaaa aniteua mm nije kuthibitisha huku
Hamna kawaida tu ila sipendi kuona mtu amekata tamaa juu ya jambo fulani so najitahidi nimshauri kwa namna mojaInaonesha u mzuri sana kwenye nasaha...
Na si mwingine huyo MTU ni mm hapaBadowasubirie surprise mtu mmoja tu atasibitisha kuwa me ni linahbaby