Nahitaji marafiki wa ku-chat nao

Nahitaji marafiki wa ku-chat nao

Yah! Naona kabisa iyo energy kwa uandishi wako, niliona ile post yako sema ikabidi niwe mpole kwanza, sema unahitaji mtu wa kukufanyia handling za kigeti geti kama ulivyosema we mtoto wa geti kali. Niko hapa hata kwa long shot kama itawezekana
ndo iko ulicho tamani kunishauri
 
Yah! Naona kabisa iyo energy kwa uandishi wako, niliona ile post yako sema ikabidi niwe mpole kwanza, sema unahitaji mtu wa kukufanyia handling za kigeti geti kama ulivyosema we mtoto wa geti kali. Niko hapa hata kwa long shot kama itawezekana
Kwa hyo we uko tyr?
 
Back
Top Bottom