Nahitaji marafiki humu

Nahitaji marafiki humu

huba.c

Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
30
Reaction score
5
Mie mgeni humu naona 0 friends wuld like to have friends hia....
Asante
 
karibu sana


Watu wote humu ni marafiki so usijal kwa hilo ndugu...
 
Karibu sana, hao wote hapo juu ni rafiki zako!
 
karibu sana mkuu...ukijiunga na hili jamvi unaungana na hii familia moja kwa moja.
so count everyone ur rafiq.
 
mi ndo rafiki yako yako so usiwe na wasi.halafu nipo double mimi na husninyo so tunakukaribisha sana.YW.
 
Hili sio jukwaa la marafiki mkuu ... mimi naomba niwe adui wakooo....ahaaa apana mtani wa jadi ...all in all karibuu mkuu jamvini ila zingatia kanuni na miongozo ya JF
 
Back
Top Bottom