Mr independent
New Member
- Dec 24, 2020
- 2
- 1
Hapo 'Mfunguzi' ni sangoma au
Sabuni napenyewe ongeza bajeti maana kuna sabuni za kipande na sabuni za unga. Vilevile kuna sabuni zakuogea kuna aina zaidi ya moja vilevile nabei zinatofautiana. Navileviele sabuni zakuogea pamoja na mafuta ya kupaka yanapendezesha duka. Ongeza bajeti hapo
halilipi kama ukikaa nyuma ya keyboard utype! umeambiwa utoe maoni yako umeanza blah blah.Kama halilipi mpe lako linalolipaHivi duka la hivi linafaida kweli?
Hili Duka mahesabu yake ni magumu , ili uendelee inabd uwe unachukua hela unafanyia maendeleo , kama Duka halipungui hyo ndo indicator kwamba unapata faida , na inabd wewe ndo usimamie shooHivi duka la hivi linafaida kweli?
Nimeipenda shukrani