Nahitaji majina ya nightclubs za dar na dodoma

Nahitaji majina ya nightclubs za dar na dodoma

mankizzo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
658
Reaction score
523
Nawageni wangu wapo trip ya wiki tano hapa dar.wanapenda ku zungukia shemu za starehe ambazo ni zakawaida.mm si mjuaji sana wa hizi vitu najua club71 ya tegeta hapa. Kama una zi elewa nisaidie na bar ambazo zina huduma nzuri (na sifazake )ziwe zina mziki pia
 
Simba kapakatwa pale jirani na ofisi za tigo kijitonyama
 
Back
Top Bottom