Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
- Thread starter
- #21
yeye ni raiya wa wapi?
soma vizuri mkuu utaelewa.
yeye ni raiya wa wapi?
Raiya ni jina la mtu
Mkuu, yeye yupo Uingereza hajui bei za Bongo halafu pili ni kwamba watanzania tusipende kupangiwa bei wewe mwenye biashara ndio unatakiwa kupanga bei kwa mnunuaji kama mnunuaji hajaridhika na bei ata bargain na akishindwa kwako anaenda kwa mwenye bei nzuri zaidi. Mimi nakusanya taarifa kisha narudisha ripoti kwake then maamuzi yanafanyika.
ni pm namba yake tufanye mazungumzo zaidi.