Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu yupo Uingereza anataka mazao tajwa nimtumie akauze nchini kwake kwani kuna soko kubwa la mazao hayo nchini kwake, yanahitajika kwa wingi kadri ya uwezo wako hakuna limit.
1. MAHARAGE MEKUNDU 2. MCHELE 3. UNGA WA MAHINDI 4. KARANGA
KUMBUKA: Mazao hayo yawe grade A.
Lakini pia, nahitaji ushauri wenu wakuu kuhusu taratibu za msingi zinazotakiwa kufuatwa ili kusafirisha mazao hayo nje ya nchi.
Email yangu ni: mchunguzihuru@hotmail.com