Nahitaji mafanikio ya haraka ili kukimbizana na umri wangu

Oa mke bora ndio njia ya mafanikio ila kumpata mke bora ni mtihani mmoja mgumu sana, unahitaji kumtanguliza Mungu ktk hili, usioe singo maza.
 
Mke bora anakuja na hela mkuu? Btn hao wake bora wenyewe wanaangalia penye hela simu hizi. Kumtanguliza Mungu ktk kila jambo ni kumsumbua maana alishakupa akili, ifanyie kazi
 
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.

Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.

Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.

Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.

Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.

Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.

Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.

Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.

A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika

D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..

Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....

Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.

Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
Kuna Thread Ya Dada Alikuwa Anataka Kuolewa Akapiga Simu Number Zile Zinazowekwa Kwenye Mabango Ukitaka Kujiunga Na Free Masons.

Simu Ikapokelewa Akaelekwa Tandika Akakutana Na Mganga Akamweleza Shida Yake Ya Kuolewa Akaambiwa Dawa Ipo Nzuri
Ila Lazima Aje Na Manii Ya Huyo Jamaa Yake

Akaona Ni Ngumu Kuyapata Hadi Kuyaleta Kwa Mganga. Akaambiwa Kama Ngumu Mganga Ataipaka Dawa Kwenye Sehemu Zake Za Siri Halafu Atagusisha Kidogo Kwenye Nyeti Za Dada Hapo Dawa Itakuwa Poa

Dada Akasema Sawa Mganga Akapaka Akaingiza Yote Hadi Kukojoa Kwa Utamu
Dada Anasema Akashtuka Kuwa Siyo Dawa Akamsukuma Lakini Tayari Kaliwa

Thread Yake Ipo Jamiiforums.com
 
Ushuhuda wa Tukio la ushirikina mjin Kigoma.

Habar zenu Wadau
Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa mzee Kingwele anaishi Mpakan na Congo.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbalimbali ila idadi kubwa ni wanawake.

Tukiwa pale kuna mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na Babu.

Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta msukule kupitia Mitambo yake.

Ndugu wa yule mgonjwa walilia sana kwa furaha.

Ikawa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.

Wakat tupo pale baadae nikaona tena Wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.

Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa.

A) Mzee Mangi alikuwa na kesi ya Kuua lakin file la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika file alipata ajali na amelazwa hospital

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano.
Mama huyu alihudumiwa na Babu kwa siku saba tu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata utajir kwa njia nyepes tuu siyo kuua binadam bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa Mwaka kila Tareh ikifika

D) Nikaona ...... Akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa kuua ndugu.... Aliyekuwa akimsumbua Sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali.
Hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na .... Ilifanya kazi vizur.

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivisasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe Mazingira..

Kiufupi huyu Babu anawajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba dawa na anachanganya na VISIMBA na mambo mengine anayoyajua yeye....

Mmh! Najua kuna watakao toa Povu ila uhalisia ni kwamba Ushirikina/Uchawi upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema Uchawi haupo basi hao hawajapata matatizo.

Namba za huyo Babu.
(+255678134718) kwa ufafanuz zaid..
Labda ingekua Facebook lakn kwa umu sizan,;!! labda, hauwez jua!!!
 
Haya mambo yapo ni uamuzi wako tu ila uwe makini . Jibebeshe mzigo mwenyewe ili uwe tajiri .
 
Nasikia kuna tajiri wa mabasi ya mikoani alimroga kuku akala punje nyingi kuliko kawaida,mpaka leo jamaa bado lipo hai aisee.

Hii habari niliwasikia madereva wa mabasi ya mikoani walikuwa wanawazungumzia maboss wao.
Hahaha we jamaa
 
Mke bora anakuja na hela mkuu? Btn hao wake bora wenyewe wanaangalia penye hela simu hizi. Kumtanguliza Mungu ktk kila jambo ni kumsumbua maana alishakupa akili, ifanyie kazi
Na kweli mkuu. Mungu anaweza kunyang'anya akili alizomjalia. Maana kampa akili halafu hata jambo dogo tu anamtanguliza Mungu.
 
Back
Top Bottom