Nahitaji mafanikio ya haraka ili kukimbizana na umri wangu

Nahitaji mafanikio ya haraka ili kukimbizana na umri wangu

Nimekuwa natafuta maisha mazuri ila hawezekani kwa nyakati hizi kutokana na ari kuwa ngumu kote kote kwa sisi Viben10 sasa na hata wasio kama sisi, naombeni ushauri juu ya jambo hili;
Jana nimepata kuiona fursa ya kwenda kwa Sir Ngoma(Mganga) baada ya kuona fursa kwa rafiki yangu mkubwa tena wa karibu sana Bw. Likudi na amenishauri hili baada ya kuongea nae mambo mengi na siri ya mafanikio yake toka akiwa na umri wa miaka 18 alipokuja Dar kutoka Songea.
Baada ya maongezi hayo na siri yake ya mafanikio akanieleza lazima nipite njia hii(Uchawi) sasa katika huo uchawi kanishauri lazima nichukue maamuzi magumu(Kuua), kanishauri ili nifanikiwe haraka lazima nipite hapo ili nifikie alipo yeye. Amenishauri nimtoe kafara mzazi wangu mmoja 7bu mimi sijafanikiwa kuwa na mtoto ingekuwa suluhisho sahihi badala ya mzazi wangu. Kanishauri niandae pesa kidogo ili anipeleke huko ambako yeye ndio alikopatia mafanikio yake. Sasa kaniambia niandae pesa kidogo ili anipeleke (Ngende-Masasi) kwa ajili ya kuanza safari ya matumaini ya kuishi pasi na shaka juu ya kumiliki Pesa Magari na Nyumba mzuri.

Sasa kwa mtazamo wangu kiukweli nimemuelewa vzr sana na ningehitaji kufanya hivyo kwani hakuna namna kwa umri huu wa miaka 28+ na sijui kesho yngu elimu imenipiga chenga niliachia class 6 tu.

Mwisho kwa mawazo yenu na maoni yenu machache je naweza kufanikiwa bila kupata shida kwa mliowahi kupita huku? Najua wapo hapa waliopitia huku na hata kama ndg yako najua wajua huku amepita pia.
mafanikio hayana short cut
 
Nenda kakalie vidole vya nyani mkuu but REMEMBER SUCCESSFUL DOES NEVER COME LIKE A GIFT,,,,,,,unafika wanamuua baba yako then wanakwambia kila usiku tutakua tunamleta then unampaka mafuta then unampasua maboga,,,,sijui kama maisha yako yatakua na amani

Acha tamaa tengeneza mikakati y kuingiza pesa BOYA WEWE
"Kumpasua Maboga" ndo nn mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa Haina Shida Kama Wazazi wameshakulakula chumvi we Malizia tu ......ila Usisahau Kuna Adhabu baada ya Raha hizi za Dunian unazoziwaza
 
Ngende hawaui mzaz wala mtoto,ila tu unaambiwa upeleke chumvi ya mawe kila mwaka,,hvyo tu,hakuna uganga wa mizimu unaoua,we nenda tu maana hatma ya maisha yako ni maamuz yako mwenyewe,kama una amin kwamba kuua ndo kufanikiwa bas umeshafeli kuanzia kichwan ktk fikra mpk mwilini kbsaaaa..

We unataka kumiliki mali ila hutaki kufanikiwa,kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu mwenye mafanikio(aliyefanikiwa) na mtu mwenye mali... Ukiamin ktk mali umeshafel brother

daaa aisee we ni kichw ni kwel kuna tofaut kat ya kufanikiw na kuw na mali nyngi

ben.big.boss
 
M
Jambo la kubeba zigo la shetwani, wataka kumshirikisha nani mwingine?

Hilo ni lako, unastahili kulibeba mwenyewe kama wewe bila ya kushirikisha mtu mwingine awaye yote.

Unasema umechelewa huku ukiwa bado ben10!
Je ulitaka mafanikio ukiwa tumboni mwa mama yako?

Leo nimeamini kamchanganyikeni hii na Id fake, yawezekana kabisa ibilisi mwenyewe kuanzisha thread na watu tukajipinda kuchangia kama hivi!
Mkuu mtu awaye yote ndo nini! Au ndo kiswahili cha jamii forums
 
Ngende hawaui mzaz wala mtoto,ila tu unaambiwa upeleke chumvi ya mawe kila mwaka,,hvyo tu,hakuna uganga wa mizimu unaoua,we nenda tu maana hatma ya maisha yako ni maamuz yako mwenyewe,kama una amin kwamba kuua ndo kufanikiwa bas umeshafeli kuanzia kichwan ktk fikra mpk mwilini kbsaaaa..

We unataka kumiliki mali ila hutaki kufanikiwa,kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu mwenye mafanikio(aliyefanikiwa) na mtu mwenye mali... Ukiamin ktk mali umeshafel brother

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngende ndo wapi mkuu?
 
Acha kudanganywa mkuu, usiue mzazi wala yeyote tafadhali bali anza kutafuta kidogo kidogo utapata kwa njia ya halali tu, jifunze kwa waliofanikiwa.
 
Back
Top Bottom