Nahitaji mafanikio ya haraka ili kukimbizana na umri wangu

Nimekuwa natafuta maisha mazuri ila hawezekani kwa nyakati hizi kutokana na ari kuwa ngumu kote kote kwa sisi Viben10 sasa na hata wasio kama sisi, naombeni ushauri juu ya jambo hili;
Jana nimepata kuiona fursa ya kwenda kwa Sir Ngoma(Mganga) baada ya kuona fursa kwa rafiki yangu mkubwa tena wa karibu sana Bw. Likudi na amenishauri hili baada ya kuongea nae mambo mengi na siri ya mafanikio yake toka akiwa na umri wa miaka 18 alipokuja Dar kutoka Songea.
Baada ya maongezi hayo na siri yake ya mafanikio akanieleza lazima nipite njia hii(Uchawi) sasa katika huo uchawi kanishauri lazima nichukue maamuzi magumu(Kuua), kanishauri ili nifanikiwe haraka lazima nipite hapo ili nifikie alipo yeye. Amenishauri nimtoe kafara mzazi wangu mmoja 7bu mimi sijafanikiwa kuwa na mtoto ingekuwa suluhisho sahihi badala ya mzazi wangu. Kanishauri niandae pesa kidogo ili anipeleke huko ambako yeye ndio alikopatia mafanikio yake. Sasa kaniambia niandae pesa kidogo ili anipeleke (Ngende-Masasi) kwa ajili ya kuanza safari ya matumaini ya kuishi pasi na shaka juu ya kumiliki Pesa Magari na Nyumba mzuri.

Sasa kwa mtazamo wangu kiukweli nimemuelewa vzr sana na ningehitaji kufanya hivyo kwani hakuna namna kwa umri huu wa miaka 28+ na sijui kesho yngu elimu imenipiga chenga niliachia class 6 tu.

Mwisho kwa mawazo yenu na maoni yenu machache je naweza kufanikiwa bila kupata shida kwa mliowahi kupita huku? Najua wapo hapa waliopitia huku na hata kama ndg yako najua wajua huku amepita pia.
1. Darasa la sita usingekuwa na uwezo wa kuandika hicho ulichokiandika.
2. Jiulize kwa nini mganga yeye mwenywe yupo katika dibwi la umaskini mkubwa kwani hautaki huo utajiri wa magari na hayo majumba?
 
Hakuna utajiri wa namna hyo ambao utakufanya kuwa huru na pesa yako.Zaidi utajikuta na stress nyingi tena kwa kutumia kwa mashart na pia umeua mzazi.
Unaua mzazi ili hzo hela uje ufurahie na nan sasa?
 
Mimi nakushauri ili upate mafanikio ya haraka na makubwa zaidi kuliko yeye usiue mzazi wako mmoja tu bali ua wote na watoto wote ua hata mke ua ili uwe tajiri wa haraka zaidi kumzidi hata Bakheresa. mwana mtoka pabaya wewe!
 
Nimekuwa natafuta maisha mazuri ila hawezekani kwa nyakati hizi kutokana na ari kuwa ngumu kote kote kwa sisi Viben10 sasa na hata wasio kama sisi, naombeni ushauri juu ya jambo hili;
Jana nimepata kuiona fursa ya kwenda kwa Sir Ngoma(Mganga) baada ya kuona fursa kwa rafiki yangu mkubwa tena wa karibu sana Bw. Likudi na amenishauri hili baada ya kuongea nae mambo mengi na siri ya mafanikio yake toka akiwa na umri wa miaka 18 alipokuja Dar kutoka Songea.
Baada ya maongezi hayo na siri yake ya mafanikio akanieleza lazima nipite njia hii(Uchawi) sasa katika huo uchawi kanishauri lazima nichukue maamuzi magumu(Kuua), kanishauri ili nifanikiwe haraka lazima nipite hapo ili nifikie alipo yeye. Amenishauri nimtoe kafara mzazi wangu mmoja 7bu mimi sijafanikiwa kuwa na mtoto ingekuwa suluhisho sahihi badala ya mzazi wangu. Kanishauri niandae pesa kidogo ili anipeleke huko ambako yeye ndio alikopatia mafanikio yake. Sasa kaniambia niandae pesa kidogo ili anipeleke (Ngende-Masasi) kwa ajili ya kuanza safari ya matumaini ya kuishi pasi na shaka juu ya kumiliki Pesa Magari na Nyumba mzuri.

Sasa kwa mtazamo wangu kiukweli nimemuelewa vzr sana na ningehitaji kufanya hivyo kwani hakuna namna kwa umri huu wa miaka 28+ na sijui kesho yngu elimu imenipiga chenga niliachia class 6 tu.

Mwisho kwa mawazo yenu na maoni yenu machache je naweza kufanikiwa bila kupata shida kwa mliowahi kupita huku? Najua wapo hapa waliopitia huku na hata kama ndg yako najua wajua huku amepita pia.

Jiunge haraka na Freemasons unasubili nini? Utampita Mpaka Bill Gate ndani ya miezi tu. Fanya chapi ujiunge nao
 
Huna haja ya kumtoa sijui nani ili ufanikiwe
Njoo nikupeleke tunduma kwenye utajiri wa punje ila maisha yako yatategemea idadi ya punje kuku atakazokula!
Utakuwa na uwezo wa kunywa chai south afrika lunch usa na dina denmark
Chaguo ni lako!
hahaaa nitakutafuta aisee
 
Mimi nakushauri ili upate mafanikio ya haraka na makubwa zaidi kuliko yeye usiue mzazi wako mmoja tu bali ua wote na watoto wote ua hata mke ua ili uwe tajiri wa haraka zaidi kumzidi hata Bakheresa. mwana mtoka pabaya wewe!
hahaaa
 
kuna mtu hapa kkoo walinzi wana lalamika usiku wanasikia mtu akipanga mzigo kwenye ma shelf ina semekana ni mzazi wake. akifika asbh lazima agonge geti ndio afungue lakini ukwasi wake ni wakawaida
 
Nimekuwa natafuta maisha mazuri ila hawezekani kwa nyakati hizi kutokana na ari kuwa ngumu kote kote kwa sisi Viben10 sasa na hata wasio kama sisi, naombeni ushauri juu ya jambo hili;
Jana nimepata kuiona fursa ya kwenda kwa Sir Ngoma(Mganga) baada ya kuona fursa kwa rafiki yangu mkubwa tena wa karibu sana Bw. Likudi na amenishauri hili baada ya kuongea nae mambo mengi na siri ya mafanikio yake toka akiwa na umri wa miaka 18 alipokuja Dar kutoka Songea.
Baada ya maongezi hayo na siri yake ya mafanikio akanieleza lazima nipite njia hii(Uchawi) sasa katika huo uchawi kanishauri lazima nichukue maamuzi magumu(Kuua), kanishauri ili nifanikiwe haraka lazima nipite hapo ili nifikie alipo yeye. Amenishauri nimtoe kafara mzazi wangu mmoja 7bu mimi sijafanikiwa kuwa na mtoto ingekuwa suluhisho sahihi badala ya mzazi wangu. Kanishauri niandae pesa kidogo ili anipeleke huko ambako yeye ndio alikopatia mafanikio yake. Sasa kaniambia niandae pesa kidogo ili anipeleke (Ngende-Masasi) kwa ajili ya kuanza safari ya matumaini ya kuishi pasi na shaka juu ya kumiliki Pesa Magari na Nyumba mzuri.

Sasa kwa mtazamo wangu kiukweli nimemuelewa vzr sana na ningehitaji kufanya hivyo kwani hakuna namna kwa umri huu wa miaka 28+ na sijui kesho yngu elimu imenipiga chenga niliachia class 6 tu.

Mwisho kwa mawazo yenu na maoni yenu machache je naweza kufanikiwa bila kupata shida kwa mliowahi kupita huku? Najua wapo hapa waliopitia huku na hata kama ndg yako najua wajua huku amepita pia.
bongo flava ( vijana ) wengi huwaza kama Wewe mwisho huishia kuingiliwa kinyume na maumbile au kuwa marioooo hasa magomeni,sinza,kinindoni
 
Siasa Ni Kilimo
Kilimo Ni Uti Wa Mgongo
Kilimo Cha Kufa Na Kupona
Kilimo Kwanza
Big Result Now
Maendeleo Hayana Chama
Njooni Kwangu Na Mizigo Mpumzike
 
Wewe huna akili. Ikiwezekana upigwe mawe ufe. Halafu utaona utamu wa kuua wenzako
 
Karibu Mombasa Mkuu..siyo ya ukonga lakini nazungumzia hii ya bwana Joho...nakuahidi tripu moja tu ukija hautabaki kama ulivyo.
NB:Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
wangu mmoja 7bu mimi sijafanikiwa
hapo kwenye red ndipo nimeishia kusoma uzi wako....
 
Huna haja ya kumtoa sijui nani ili ufanikiwe
Njoo nikupeleke tunduma kwenye utajiri wa punje ila maisha yako yatategemea idadi ya punje kuku atakazokula!
Utakuwa na uwezo wa kunywa chai south afrika lunch usa na dina denmark
Chaguo ni lako!
Nasikia kuna tajiri wa mabasi ya mikoani alimroga kuku akala punje nyingi kuliko kawaida,mpaka leo jamaa bado lipo hai aisee.

Hii habari niliwasikia madereva wa mabasi ya mikoani walikuwa wanawazungumzia maboss wao.
 
Ukitaka mafanikio ya fasta
1. Kunywa maji yaliyooshea maiti kwa kutumia ugata. Ugata unapatikana kwa kibuyu nusu.
2. Tembea na binti yako wa kumzaa au mama yako mzazi mara tano.
3. Usile nyama. Usioge. Usilalie kitanda. Usitembee nje ya ndoa. Mboga zako ziwe chuku vhuku. Usile mkate. Wewe ni mihogo plus matobholo.
Halafu njooo nikupe hirizi
 
Back
Top Bottom