Nahitaji Land Surveyor | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Land Surveyor

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ramthods, Jun 23, 2012.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wakuu,

  Nahitaji land surveyor kwa ajili ya kupima kiwanja changu maeneo ya Tangi bovu, mbezi beach.

  Nimejaribu land surveyor wawili, ila sikuwapenda kwa kuwa hawakuwa makini na pia ni waswahili waswahili sana.

  Kama unamfamfaham surveyor mzuri, ni PM namba yake.

  Thanks,

  Ram
   
 2. S

  Silicon Valley JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 554
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  EXACTLY I HAVE THE SAME PROBLEM.... Nadhani yawezekana ni huluka yao ? ? ? mimi pia nimejaribu mmoja ana lugha za kitapeli hauko serious na kazi, kauli na hata hana commitment,,,, TAFADHALI KWA YEYOTE ATAKAYE WAHI KUPATA TUPEANE TAARIFA MKUU.. mm kiwanja kipo maeneo ya sala sala.
   
 3. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sijui kwa nini wanakuwa hivyo..wengi ni product ya ardhi university..i knw a lot of zem ila huyu anahofu ya Mungu anaweza kuwa surveyor mzuri sio tapeli 0719736871 jina steve.

  Lakini niwakumbushe kuwa bei ya upimaji kwa kweli iko juu mno,ela haiishii kwa surveyor ila mfumo ambao serikali imeweka hadi mtu apate hati ni kandamiz kwa wanyonge.

  Isije ikawa mnatajiwa bei kubwa mnaona utapeli.
   
 4. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Thanks mkuu!
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Thanx mkuu, hata mimi ninampango kama wa jamaa hapo juu. Nimempigia muhusika na ana-sound mtu fresh hana matatizo. Nilimbana kumuuliza itanicost how much kupima na kumaliza kila kitu akawa anasema siwezi kukuambia chochote mpaka nione eneo lenyewe.

  Nikazidi kumbana akaona tu nina kihere here bora aniambie. Kiwanja cha medium density, cha kwangu, akaniambia bei itaweza ku-range kuanzia milioni moja kwenda juu. Ni baada ya kumjibu swali lake la je karibu na hapo kuna surveyed plots (of which ni zipo, in ma case)

  Nikamuuliza ndani ya muda gani napata makaratasi aksema ukiwa na hela yako mambo yanaweza kwenda haraka si unajua process za SEREKALINI zinvyokua.

  Any ways maelezo yangu yanaweza yakawa bla bla kwa kua namba ipo hapo juu, lakini ningependa wanajf tuwe na utaratibu wa kuleta feedback (mlishonyuma) wa vitu tunavyofaidika navyo haswa chanzo kikiwa jf.

  Asanteen
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...