Habari Wakuu,
Kuna kiwanja nataka kununua, nahitaji surveyor kwenda kukipima kiwanja changu ambacho kina ukubwa wa heka moja na nusu kwa makisio, ila nataka kipimwe kitaalamu.
Ningependa kupata mtu ambaye ni professional ili tuweze kupata legal documents baada ya kupima.
Asante.

, hata wewe unaweza kupima